-

Vyama vya Kongo vyaunda muungano kwa ajili ya uchaguzi ujao
Akiwa na umri wa miaka 80, Sassou Nguesso ameshinda jumla ya takriban miaka 40 madarakani.
-

Wanne wafariki, 11 wamelazwa hospitalini nchini Kenya baada ya kufunga hadi kufa
Inadaiwa kuwa Mchungaji Mackenzie anawahadaa wenyeji kupitia mafundisho potofu, yaliyokithiri ya kidini na hofu ya wasiojulikana katika harakati za kutafuta wokovu, na kusababisha vifo vya wengi.
-

Serikali kuweka mfumo mpya mikopo ya asilimia 10
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amezielekeza Halmashauri zote nchini humo kusitisha utoaji wa fedha za mikopo kwa makundi maalum ya vijana, wanawake na wenye ulemavu kuanzia Aprili hadi Juni, 2023 wakati Serikali inajipanga kuweka…
-

Uganda yawafunga wakenya miaka 20 jela kwa kutumia silaha kinyume cha sheria
Wafugaji hao 32 walikamatwa katika operesheni ya kijasusi siku ya Jumamosi, kufuatia majibizano ya risasi katika wilaya ya Moroto kaskazini mashariki mwa Uganda
-

‘Mbakaji wa Facebook’ Thabo Bester, aliyekamatwa Tanzania arejeshwa Afrika Kusini
Thabo Bester, aliyepatikana na hatia ya ubakaji na mauaji, alitoroka kutoka gereza la kibinafsi huko Bloemfontein Mei mwaka jana
-

Shocking prison break fugitive Thabo Bester returned to S. Africa
Bester had been arrested by Tanzanian authorities on Friday night along with a woman, a Mozambican national with whom he is reportedly romantically involved
-

Upinzani nchini Kenya watangaza mpango ujao baada ya kusitisha maandamano
Mkutano wa kwanza wa ukumbi wa jiji umeratibiwa kufanywa jijini Nairobi mnamo Alhamisi, Aprili 13
-

LATRA yataka madereva wa “school bus” wasajiliwe kudhibiti ukatili wa kijinsia
Hatua hiyo imekuja baada ya kuwepo kwa matukio ya kuwafanyia vitendo vya ukatili na ukiukwaji wa maadili na udhalilishaji kwa wanafunzi unaofanywa kwenye mabasi ya shule.
-

Waliofutiwa matokeo kidato cha nne kurudia mtihani mwezi Mei
Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa ruhusa hiyo ni kwa wanafunzi wote waliofutiwa matokeo wakiwemo wanafunzi wanne waliofutiwa kwa kuandika matusi.
-

Gabon cuts presidential term to five years before election
The Bongo family has ruled the country for 55 years already and is branded a “dynastic power” by the opposition







