Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Avatar: The Way of Water, kuanza kuoneshwa kwenye huduma za kustream

    Avatar: The Way of Water, kuanza kuoneshwa kwenye huduma za kustream

    Mwanzo Editor
    March 28, 2023

    Filamu ya Avatar 2 inashika nafasi ya nne kimataifa kwa filamu zilizopata mapato ya juu zaidi katika historia baada ya “Avatar1” (dola bilioni 2.92), “Avengers: Endgame” ($2.7 bilioni) na “Titanic” ($2.19 bilioni)

  • Kenya Airways yachapisha hasara mbaya zaidi kuwahi kutokea

    Kenya Airways yachapisha hasara mbaya zaidi kuwahi kutokea

    Joy Cheptoo
    March 27, 2023

    Ni mwaka wa 10 mfululizo wa hasara kwa shirika hilo la ndege, ambalo lilichapisha faida mara ya mwisho mnamo 2012

  • Wahuni wavamia shamba la aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta jijini Nairobi

    Wahuni wavamia shamba la aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta jijini Nairobi

    Joy Cheptoo
    March 27, 2023

    Nia ya uvamizi huo haijulikani wazi

  • #TANZANIA: Sheikh Ponda Apingwa Vikali Na Mahakama

    #TANZANIA: Sheikh Ponda Apingwa Vikali Na Mahakama

    Mwanzo Editor
    March 26, 2023

    Hii ni baada ya Sheikh Ponda kutoa taarifa kupitia ukurasa wa Twitter ikisema “22.03.2023 Jaji Mfawidhi alitembelea Mahabusu wa Ugaidi Arusha na kuwaambia kesi zao zimekwama kwa sababu Mahakama haijapewa Bajeti”

  • Inspekta Jenerali wa Kenya amepiga marufuku maandamano mapya ya upinzani Jumatatu

    Inspekta Jenerali wa Kenya amepiga marufuku maandamano mapya ya upinzani Jumatatu

    Joy Cheptoo
    March 26, 2023

    Zaidi ya watu 200 walikamatwa Jumatatu iliyopita, wakiwemo wanasiasa kadhaa wakuu wa upinzani, huku msafara wa Odinga mwenyewe ukipigwa na mabomu ya machozi na maji ya kuwasha

  • Morocco Yaandikisha Historia Baada Ya Kuibwaga Brazil 2-1

    Morocco Yaandikisha Historia Baada Ya Kuibwaga Brazil 2-1

    Kevin Sewe
    March 26, 2023

    Morocco inakuwa timu ya pili barani Afrika kuwai kuishinda Brazil katika historia ya soka duniani

  • Mandonga Amshinda Mganda Lukyamuzi Kwenye Pigano Kali Jijini Nairobi

    Mandonga Amshinda Mganda Lukyamuzi Kwenye Pigano Kali Jijini Nairobi

    Kevin Sewe
    March 26, 2023

    Bondia Mtanzania, Karim Mandoga ‘Mtu Kazi’ amshinda Kenneth Lukyamuzi wa Uganda kwa pointi za majaji wawili baada ya pambano kali la raundi 8

  • Shujaa wa “Hotel Rwanda” Paul Rusesabagina aachiliwa huru

    Shujaa wa “Hotel Rwanda” Paul Rusesabagina aachiliwa huru

    Mwanzo Editor
    March 25, 2023

    Paul Rusesabagina, ambaye hadithi yake ilihamasisha filamu ya Hollywood “Hotel Rwanda,” ameachiliwa kutoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka 25 nchini Rwanda kwa mashtaka ya “ugaidi”. Uamuzi wa kusamehewa Rusesabagina ulifuata ombi lake la…

  • Asilimia 64 ya Wakenya hawaungi mkono maandamano ya upinzani – utafiti wa TIFA

    Asilimia 64 ya Wakenya hawaungi mkono maandamano ya upinzani – utafiti wa TIFA

    Joy Cheptoo
    March 25, 2023

    Azimio imetangaza kuwa itafanya maandamano yake mara mbili kwa wiki siku za Jumatatu na Alhamisi hadi serikali itakapopunguza gharama ya maisha

  • #KENYA: Mahakama kuu yasitisha uamuzi wa kuvishutumu vituo sita vya televisheni kwa kuripoti maandamano ya upinzani

    #KENYA: Mahakama kuu yasitisha uamuzi wa kuvishutumu vituo sita vya televisheni kwa kuripoti maandamano ya upinzani

    Joy Cheptoo
    March 24, 2023

    Katiba inasema kanuni za programu zinahitaji kuangaliwa mara moja kila baada ya miaka miwili lakini mamlaka hiyo ilizipitia kwa mara ya mwisho mwaka 2019 ambao ni zaidi ya miezi 18 iliyopita

Previous Page
1 … 440 441 442 443 444 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Survivors Grieve After Nigeria’s Latest Deadly Communal Clashes

  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy