Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • NHIF yapewa siku 14 kukamilisha maboresho ya huduma ya Toto Afya Kadi

    NHIF yapewa siku 14 kukamilisha maboresho ya huduma ya Toto Afya Kadi

    Asia Gamba
    March 16, 2023

    Taarifa iliyotolewa hivi karibuni kutoka NHIF, ilieleza kuwa mfuko huo unafanya maboresho ya usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya ‘Toto Afya Kadi’, na kutoweka bayana ni muda…

  • LHRC kwenda kwa Rais Samia sakata la mashekhe wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi

    LHRC kwenda kwa Rais Samia sakata la mashekhe wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi

    Asia Gamba
    March 15, 2023

    Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Anna Henga, leo amewaambia wanahabari kwamba  mashauri hayo ya ugaidi yamekwama kuendelea kwa zaidi ya miaka sita kutokana na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kutokamilisha upelelezi wake.

  • Mtu mmoja hufariki kwa ajali kila wiki jijini Mwanza nchini Tanzania 

    Mtu mmoja hufariki kwa ajali kila wiki jijini Mwanza nchini Tanzania 

    Joy Cheptoo
    March 14, 2023

    Upande wa pikipiki zimetokea ajali kubwa 30 kwa kipindi hicho cha Januari hadi Desemba, 2022 zilizosababisha vifo vya watu 25 na kujeruhi watu 26

  • Watu 4,000 wamefariki dunia kwa ajali za barabarani nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu

    Watu 4,000 wamefariki dunia kwa ajali za barabarani nchini Tanzania katika kipindi cha miaka mitatu

    Asia Gamba
    March 14, 2023

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa takwimu hizo huku akielezea kuwa hazifurahishi

  • Kampuni ya Kitanzania ilihamisha pesa kabla ya benki ya SVB kuporomoka

    Kampuni ya Kitanzania ilihamisha pesa kabla ya benki ya SVB kuporomoka

    Mwanzo Editor
    March 14, 2023

    Kampuni za Kiafrika zinafuatilia kwa karibu kuona nini kitatokea baada ya kuporomoka kwa Benki ya Silicon Valley

  • Idadi ya vifo kutokana na Kimbunga Freddy nchini Malawi yafikia 99

    Idadi ya vifo kutokana na Kimbunga Freddy nchini Malawi yafikia 99

    Mwanzo Editor
    March 14, 2023

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga Freddy nchini Malawi imeongezeka hadi 99 Jumatatu, huku vifo 85 vikirekodiwa katika jiji la Blantyre pekee, mamlaka ilisema.

  • Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris kuzuru Afrika baadaye mwezi huu

    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris kuzuru Afrika baadaye mwezi huu

    Joy Cheptoo
    March 13, 2023

    Anapanga kuwa Ghana kuanzia Machi 26 hadi 29, kisha Tanzania kuanzia Machi 29 hadi 31. Kituo chake cha mwisho ni Zambia, Machi 31 na Aprili 1.

  • Serikali ya Tanzania kukusanya na kutumia trilioni 44.38 mwaka 2023/2024

    Serikali ya Tanzania kukusanya na kutumia trilioni 44.38 mwaka 2023/2024

    Asia Gamba
    March 13, 2023

    Serikali ya Tanzania inatarajia kukusanya na kutumia shilingi trilioni 44.38  kwa mwaka 2023/2024 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.0 ya bajeti ya mwaka 2022/2023.

  • Lady Gaga Performs Emotional Rendition Of ‘Hold My Hand’

    Lady Gaga Performs Emotional Rendition Of ‘Hold My Hand’

    Mwanzo Editor
    March 13, 2023

    Lady Gaga took the stage to perform an emotional and raw rendition of her Oscar-nominated song “Hold My Hand” during the Academy Awards on Sunday night.

  • Rapa kutoka Afrika Kusini Costa Titch afariki baada ya kuanguka jukwaani

    Rapa kutoka Afrika Kusini Costa Titch afariki baada ya kuanguka jukwaani

    Joy Cheptoo
    March 13, 2023

    Costa Titch alitamba sana na “Big Flexa,” ambayo imetazamwa zaidi ya milioni 45 kwenye YouTube

Previous Page
1 … 445 446 447 448 449 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    Survivors Grieve After Nigeria’s Latest Deadly Communal Clashes

  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy