Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kufanya ngono na mwanawe

    Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kufanya ngono na mwanawe

    Asia Gamba
    July 29, 2022

    Akitoa hukumu hiyo, hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya Nzega, Godfrey Rwekite alisema kutokana na ushahidi kukamilika, mahakama imeridhia kumuhukumu kwa Masanja Shija kutumikia kifungo hicho cha miaka 30 jela ili liwe fundisho…

  • DR Congo yazindua mnada wenye utata wa uchimbaji wa mafuta na gesi

    DR Congo yazindua mnada wenye utata wa uchimbaji wa mafuta na gesi

    Maureen Medza
    July 29, 2022

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo siku ya Alhamisi ilizindua mnada wenye utata wa vitalu 30 vya mafuta na gesi

  • Waziri wa Afya nchini Tanzania asema hakuna mgonjwa mpya wa Mgunda

    Waziri wa Afya nchini Tanzania asema hakuna mgonjwa mpya wa Mgunda

    Asia Gamba
    July 29, 2022

    Amesema wagonjwa 17 waliokuwa wamelazwa kwenye kituo cha afya cha Ndekenyera tayari wameruhusiwa kuendelea na shughuli zao.

  • Hali ya Sabaya yasababisha kesi inayomkabili kuahirishwa

    Hali ya Sabaya yasababisha kesi inayomkabili kuahirishwa

    Asia Gamba
    July 29, 2022

    Awali wakili wa Sabaya, Fridolin Bwemelo aliieleza mahakama hiyo kuwa Sabaya amefanyiwa upasuaji mkubwa wa kichwa kutokana na uvimbe aliokuwa nao na kwamba anahitaji kupata uangalizi wa karibu.

  • DR Congo: Mashambulizi yanayoshukiwa kuwa ya waasi yasababisha vifo vya raia 12

    DR Congo: Mashambulizi yanayoshukiwa kuwa ya waasi yasababisha vifo vya raia 12

    Maureen Medza
    July 29, 2022

    Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wamewaua raia kumi na wawili katika mashambulizi ya hivi majuzi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,

  • Waziri wa zamani wa Msumbiji ahukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa ufisadi

    Waziri wa zamani wa Msumbiji ahukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa ufisadi

    Maureen Medza
    July 29, 2022

    Maria Helena Taipo, 60, mwanachama wa chama tawala cha FRELIMO ambaye aliongoza wizara ya Leba kutoka 2005 hadi 2014, alishtakiwa kwa ubadhirifu wa metical milioni 113 (dola milioni 1.7) za serikali

  • ECOWAS yasema Guinea imekubali kipindi cha mpito cha miaka miwili

    ECOWAS yasema Guinea imekubali kipindi cha mpito cha miaka miwili

    Maureen Medza
    July 29, 2022

    Mwenyekiti wa jumuiya ya kanda ya Afrika Magharibi alisema kwamba Guinea itapunguza kipindi cha mpito cha utawala wa kiraia kutoka miaka mitatu hadi miwili.

  • Nigeria threatens to punish BBC, local media bandit films

    Nigeria threatens to punish BBC, local media bandit films

    Aska Makori
    July 29, 2022

    BBC Africa Eye’s documentary “The Bandit warlords of Zamfara” interviewed gang members and victims to investigate violence in northwest Zamfara state.

  • Homa ya Ini tishio Afrika

    Homa ya Ini tishio Afrika

    Asia Gamba
    July 28, 2022

    Takwimu za Shirika la Afya Duniani kupitia taarifa ya mwaka 2021 zinaonesha kati ya watu milioni 296 duniani wenye homa sugu ya ini asilimia 66 ya maambukizi hayo yapo barani Afrika. Katika kupambana na hali…

  • Wivu wa mapenzi wamfanya mwalimu kumnyonga mkewe na kisha yeye kujinyonga

    Wivu wa mapenzi wamfanya mwalimu kumnyonga mkewe na kisha yeye kujinyonga

    Asia Gamba
    July 28, 2022

    Akizungumza na waandishi wa habari leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Ali Makame amesema marehemu ni mkazi wa Tanga  na chanzo cha tukio hilo ni wivu wa kimapenzi.

Previous Page
1 … 525 526 527 528 529 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Senegal regain AFCON title after appeal: sports court

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy