Skip to content

Subscribe to access premium content

Subscribe
  • YouTube
  • X
  • Instagram
  • Facebook
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • Misri yamhukumu kifo mwanamume mmoja kwa tuhuma za mauaji

    Misri yamhukumu kifo mwanamume mmoja kwa tuhuma za mauaji

    Maureen Medza
    June 29, 2022

    Mahakama ya Misri ilimhukumu kifo mwanamume mmoja kwa mauaji ya mwanafunzi ambaye alikataa ombi la kuwa katika uhusiano nae,

  • Ghana: Polisi wafyatua vitoza machozi kutawanya maandamano ya kupinga gharama za maisha

    Ghana: Polisi wafyatua vitoza machozi kutawanya maandamano ya kupinga gharama za maisha

    Maureen Medza
    June 29, 2022

    Ghna inakabiliwa na mdororo wa kiuchumi uliochochewa na janga la corona na athari za vita vya Urusi nchini Ukraine, limeshuhudia mfumuko wa bei ukiongezeka hadi zaidi ya asilimia 27

  • Afrika Kusini yasambaza umeme kwa mgao kwa viwango vya chini zaidi

    Afrika Kusini yasambaza umeme kwa mgao kwa viwango vya chini zaidi

    Maureen Medza
    June 29, 2022

    Afrika Kusini iliweka mgao mgumu zaidi wa umeme katika kipindi cha miaka miwili na nusu baada ya mizozo ya wafanyakazi kutatiza uzalishaji katika mitambo kadhaa.

  • Raia zaidi ya 360,000 wameuawa ndani ya mwezi mmoja nchini Syria

    Raia zaidi ya 360,000 wameuawa ndani ya mwezi mmoja nchini Syria

    Asia Gamba
    June 29, 2022

    Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Michelle Bachelet amesema idadi ya vifo nchini Syria katika kipindi cha miaka 10 ni takriban asilimia 1.5 ya idadi ya watu wa taifa hilo. 

  • Tanzania yabariki hoja ya kuwatambua na kusamehe walipa kodi mahiri

    Tanzania yabariki hoja ya kuwatambua na kusamehe walipa kodi mahiri

    Asia Gamba
    June 29, 2022

    Akizungumza bungeni jijini hapa jana, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, alisema serikali imezingatia dalili zote za walakini kabla ya kuupa baraka msimamo wake huo.

  • Polisi Dar yawashikilia watu 23 kwa tuhuma za utapeli na kufanya biashara ya ngono

    Polisi Dar yawashikilia watu 23 kwa tuhuma za utapeli na kufanya biashara ya ngono

    Asia Gamba
    June 28, 2022

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema waliokamatwa ni  watuhumiwa waliokuwa wakijifanya wakuu wa shule, waganga wa kienyeji, ndugu wa waathirika, wahudumu wa makampuni ya simu au mawakala wa Freemason.

  • UN yatoa wito wa dharura wa dola milioni 110 kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Afghanistan

    UN yatoa wito wa dharura wa dola milioni 110 kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Afghanistan

    Maureen Medza
    June 28, 2022

    Tetemeko la kipimo cha 5.9 lilipiga jimbo la Paktika mashariki mwa nchi, na kuua zaidi ya watu 1,000 na kuwaacha makumi kwa maelfu bila makazi.

  • Nigeria yaidhinisha ubebeji wa bunduki ili kujilinda dhidi ya majambazi

    Nigeria yaidhinisha ubebeji wa bunduki ili kujilinda dhidi ya majambazi

    Maureen Medza
    June 28, 2022

    Jimbo la Zamfara kaskazini mwa Nigeria litaruhusu watu kubeba bunduki ili kujilinda dhidi ya majambazi wenye silaha baada ya mamlaka kushindwa kuzuia ongezeko la utekaji nyara na mauaji.

  • Tunisia’s former premier Jebali released from custody: lawyer

    Tunisia’s former premier Jebali released from custody: lawyer

    Aska Makori
    June 28, 2022

    Jebali was arrested Thursday in Sousse, a coastal city south of the capital Tunis, on charges of money laundering in connection with transfers of foreign funds to a charity in Tunisia, according to the interior…

  • Kenya: Kundi la kwanza la wauguzi waliopata ajira Uingereza tayari kusafiri

    Kenya: Kundi la kwanza la wauguzi waliopata ajira Uingereza tayari kusafiri

    Maureen Medza
    June 28, 2022

    Makubaliano kati ya Kenya na Uingereza kuhusu kuajiri wafanyikazi wa Afya yalitiwa saini na Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mnamo Januari 2021.

Previous Page
1 … 550 551 552 553 554 … 729
Next Page
Latest News
  • November 25, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Kenyan starvation cult leader convicted of child assault

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Ruto awarai wawekezaji wa Ujerumani kufadhili miradi ya miundombinu Kenya

  • November 25, 2026

    .

    Victor Kayanda

    Upinzani Kenya watoa masharti mapya kwa IEBC kabla ya Uchaguzi Mkuu

  • November 25, 2026

    .

    Wadh Kassim

    IEBC Orders 2027 Presidential Aspirants In Public Office To Quit Six Months Before Poll

  • November 24, 2026

    .

    Kevin Sewe

    Senegal regain AFCON title after appeal: sports court

Search
Featured
  • Kenyan Court Demands Answers From DCI Boss Over Missing Tanzanian Activist

    November 23, 2026
  • Uganda lawyers demand army chief present alleged abductees

    November 20, 2026
  • Amnesty Slams Tundu Lissu’s Incitement Conviction As A ‘Travesty Of Justice’

    November 10, 2026
Useful Links
  • Privacy Policy
  • Terms and Conditions
  • Contact Us
Topics
  • Home
  • Africa
  • East Africa
  • International
  • Lifestyle & Health
  • Gender
  • Business & Finance
  • Entertainment
  • Science & Tech
  • Sports
  • Politics
  • YouTube
  • Instagram
  • X
  • Facebook
  • LinkedIn

Mwanzo TV | Copyright © 2026 | All Rights Reserved

We use cookies to ensure that we give you the best experience on our website. If you continue to use this site we will assume that you are happy with it. Privacy policy