Accidents
-

Chief of Defence Forces (CDF) General Francis Ogolla dies in chopper crash
President William Ruto said the Kenya Air Force has dispatched an air investigation team to establish the cause of the crash, which took place in Elgeyo Marakwet county,
-

Dereva wa basi la shule lililosombwa na maji na kuua wanafunzi saba Arusha ashtakiwa kwa kuua bila kukusudiwa.
Dereva huyo anayefahamika kwa majina ya Lukuman Hemed amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama hiyo Sheila Mameto huku kesi hiyo ikiahirishwa hadi Aprili 30 mwaka huu, baada…
-

Watu 58 wafariki dunia kutokana na mafuriko nchini Tanzania kwa kipindi cha Aprili
Kwa mujibu wa Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi, ukanda wa Pwani ndio ulioathirika zaidi ambapo watu 33 kati ya 58 wamefariki katika mkoa wa Morogoro na Pwani.







