Africa
-

African Union Empowers Africa CDC
With this, the Africa CDC’s director, would become a “Director General” — giving the director more freedom to respond quickly to health emergencies.
-

Sabaya asema Mashtaka anayokabiliwa nayo ni ya kubambikiwa
Asema kama vyombo vya dola vingefanya uchunguzi vizuri wangegundua kuwa mashitaka dhidi yake si ya kweli.
-

Kenyan Amani National Congress leader asks former Prime Minister to retire
About two weeks ago, the Deputy president, William Ruto, officially announced his partnership with Mudavadi in the run up to the 2022 general elections.
-

Senegal declares public holiday following AFCON win
Led by Liverpool star Sadio Mane, Senegal overcame Mohamed Salah’s Egypt 4-2 in a penalty shoot-out at Sunday’s final in Cameroon.
-

Zaidi ya hekta 550 za msitu wa Aberdare zaharibiwa na moto, KFS imethibitisha
Moto huo ulizuka Jumamosi usiku, kulingana na afisa anayefanya kazi katika Shirika la Huduma kwa Wanyamapori nchini (KWS)
-

Rais wa Senegal atangaza sikukuu ya kitaifa kusherehekea ushindi wa Kombe la AFCON
Ikiongozwa na nyota wa Liverpool, Sadio Mane, Senegal iliishinda Misri kwa mabao 4-2 katika mikwaju ya penalti
-

Madagascar: Kimbunga Batsirai chawaua watu 10 na kuwafanya karibu 48,000 kuyahama makazi yao
Shirika la WHO likinukuu makadirio kutoka kwa mamlaka ya kitaifa, lilisema takriban watu 595,000 wanaweza kuathiriwa moja kwa moja na Batsirai, na wengine 150,000 wanaweza kuyahama makazi yao kwa sababu ya maporomoko ya ardhi na…
-

Morocco kumzika mtoto Rayan aliyefariki baada ya kutumbukia kisimani
Mazishi yake yatafanyika katika kijiji alikozaliwa cha Ighrane, katika milima ya Rif kaskazini mwa Morocco
-

Kiswahili kuanza kutumika AU
Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja huo.
-

Watoto wa familia moja wafariki kwa kukosa hewa
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana Jumapili, ambapo chanzo kimetajwa kuwa ni moto wa mkaa uliokuwa umewashwa ndani ili kuwapa joto watoto hao.







