Africa
-

South Africa’s President tests positive for COVID-19
President Cyril Ramaphosa, who is fully vaccinated, began feeling unwell on Sunday.
-

Benin: Kiongozi wa upinzani Reckya Madougou ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa makosa ya ugaidi
Wakosoaji wanasema mahakama hiyo imekuwa ikitumiwa na utawala wa Rais Talon kuwakandamiza wapinzani
-

Ugonjwa wa monkeypox walipuka upya DR Congo
Visa 191 vya ugonjwa wa monkeypox vimeripotiwa ikiwemo vifo 24 vilivyoripotiwa tangu mwezi Septemba 27, 2021,
-

Nigeria: Msongamano na mashambulizi katika magereza
Nigeria inashikilia nafasi ya 49 katika orodha ya nchi 206 zenye msongamano mkubwa wa wafungwa kwenye magereza yao
-

Gavana wa kaunti ya Machakos, Kenya ndiye gavana bora zaidi barani Afrika
Tuzo ya Africa Illustrious, ilianzishwa mwaka wa 2020 na husimamiwa na My Media Africa.
-
Rais Samia Suluhu, Oprah, Rihanna kwenye orodha ya Forbes ya wanawake wenye ushawishi mkubwa
Orodha hiyo ya Forbes inayojumuisha wanasiasa, watu mashuhuri na wanawake wafanyabiashara.
-

Wafungwa 38 wafariki na wengine 69 wajeruhiwa kwenye mkasa wa moto gerezani Burundi
“Tulianza kupiga kelele kwamba tutaungua, tulipoona moto unazidi kuwaka, lakini polisi walikataa kufungua milango,” – Mfungwa
-

UAE yatangaza wikendi ya Jumamosi na Jumapili na siku nne na nusu za kazi.
Milki za Kiarabu imetangaza Jumanne kwamba wiki ya kazi itakuwa siku nne na nusu, ikiwa ni Ijumaa alasiri, Jumamosi, na Jumapili kuunda wikendi mpya.
-

Afisa wa Polisi awaua watu sita ikiwemo mkewe
Afisa wa polisi nchini Kenya amemuua kwa kumpiga risasi mke wake na watu wengine watano na kisha kujiua mjini Kabete.
-

Sudan’s Burhan says military will exit politics after 2023 elections
“When a government is elected, I don’t think the army, the armed forces, or any of the security forces will participate in politics. – Burhan







