Rais Joe Biden kuanza ziara yake Angola Leo Jamatatu
Rais anayeondoka madarakani nchini Marekani,Joe Biden anaanza ziara yake nchini Angola kuanzia Jumatatu, akitimiza ahadi muhimu aliyoitowa 2022 ya kuimarisha mahusiano na bara la Afrika kwa kuitembelea nchi hiyo.