IPOA Resolves Over 12,000 of 20,112 Complaints Against Police in last 6yrs
The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) has resolved over 12,000 complaints against police officers in the last six years. According…
The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) has resolved over 12,000 complaints against police officers in the last six years. According…
Pope Francis condemned Wednesday efforts to repel migrants and block their routes as a “grave sin”, as he recalled those…
Five Kenyan police officers have been arrested for allegedly helping a suspected murderer and 12 Eritrean citizens arrested for illegal…
The High Court has temporarily halted the impeachment of Meru Governor Kawira Mwangaza. The court issued conservatory orders preventing the…
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu…
Katika taarifa ya Chadema iliyotolewa na John Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje kupitia ukurasa wake wa X zamani Twitter, imeeleza viongozi hao walirudishwa kutoka jijini Mbeya walikokamatiwa na kurejeshwa Dar es salaam usiku chini ya ulinzi wa Polisi.
Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Boniface Mwabukusi ameanza kazi kwa kujitosa katika sakata la msichana kubakwa kwa zamu na…
Mafuvu 17 ya watu waliofukiwa kwenye masanduku ya chuma yamefukuliwa katika eneo linaloshukiwa kuwa madhabahu katikati mwa Uganda.
Wanachama wa chama cha Forum for Democratic Change (FDC) walikamatwa nchini Kenya na kushtakiwa kwa kile wakili Erias Lukwago alichokiita “unyanyasaji” kwa utaratibu wa kisheria na mamlaka ya Uganda.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, amesema kumekuwa na ushirikiano mdogo kwa waathiriwa wa utekaji pindi wanapohitajika na Jeshi la Polisi kwa ajili ya kutoa ushirikiano utakaofanikisha upelelezi.