Crime & Justice
-

Kesi la Lissu: Jamhuri kutafakari uamuzi wa Mahakama kuhusu mapingamizi ya Lissu
Upande wa Jamhuri ukiwakilishwa na Wakili Mkuu wa Serikali Renatus Mkude ulisema baada ya kumaliza ushahidi wa shahidi huyo, unakwenda kutafakari maamuzi yaliyotolewa na Mahakama Kuu juu ya mapingamizi mawili ambayo yaliletwa na mshtakiwa kuhusiana…
-

Lissu Ashinda Pingamizi Lingine Kesi Ya Uhaini
Katika pingamizi hilo, Lissu alipinga uwasilishaji wa taarifa hiyo akieleza kuwa shahidi, Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Samwel Elibariki Kaaya hana mamlaka ya kisheria ya kuandaa “report” bali “certificate” pekee ya uchunguzi, kwa mujibu wa…
-

Balaa! Lissu Aibua Pingamizi Jipya
Pingamizi hilo limewasilishwa muda mfupi baada ya Mahakama kutoa uamuzi wa pingamizi la awali, ambapo Lissu alipinga upokelewaji wa vielelezo vya video vilivyohifadhiwa katika Flash Disk na Memory Card.
-

Mahakama Yakubali Pingamizi La Lissu, Yakataa Kupokea Vielelezo Vya Ushahidi
Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Dustan Nduguru ambaye anaongoza jopo la majaji watatu wanaosikiliza shauri hilo, wakati kesi hiyo ilipokuwa ikiendelea kusikilizwa kwa ajili ya kutolewa uamuzi kuhusu mapokezi ya vielelezo hivyo.
-

Ghanaian Police Probe ‘Suspicious’ Death of Senegalese Footballer
A man who identified himself as Issah and claimed to be the victim’s brother “brought the deceased to the hospital in a critical condition, with several abdominal injuries, alleging that the victim had been involved…
-

Mahakama Kuu Yakataa Pingamizi La Jamhuri Katika Kesi Ya Uhaini Ya Tundu Lissu
Mawakili wa Jamhuri walidai kuwa mshtakiwa hakufuata taratibu za kisheria katika kuwasilisha ombi hilo la kupokea kielelezo hicho kama ushahidi.
-

Kesi Ya Uhaini Ya Lissu- Shahidi: Kutoa Maudhui ya Uchochezi ni Uhaini
Lissu: Waeleze majaji kwamba mtu anaetoa maudhui ya Uchochezi ni kosa la Uhaini. Je maudhui yenye Uchochezi kwa umma ni kosa la Uhaini au sio Shahidi :Ni kosa la Uhaini
-

West Africans Deported by US to Ghana Dumped in Togo Without Papers
Eight to 10 west African nationals have since been forcibly sent by Ghana to Togo, bypassing a formal border crossing and left on the street without passports.
-

Gunmen Kill 12 Forest Guards in Central Nigeria
Gunmen in central Nigeria have killed at least a dozen guards who protect forests and flush out criminal gangs and jihadists, police said.








