Crime & Justice
-

Tanzanian Activist & Lawyer Boniface Mwabukusi Wins Appeal, to Run for TLS Presidency
In an exciting turn of events, Boniface Mwabukusi, a prominent Tanzanian lawyer and activist, has won his appeal against the Tanganyika Law Society (TLS) and is now set to run for the presidency of the…
-

Wakili Boniface Mwabukusi ashinda rufaa, kuwania urais TLS
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi iliyokuwa imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea Boniface Mwabukusi dhidi ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) ambapo Wakili Mwabukusi alikuwa akipinga uamuzi wa…
-

IGP, RPC Tanga washtakiwa sakata la Kombo Mbwana
Mawakili tisa wanaomwakilisha kada wa Chadema, Kombo Mbwana wamefungua kesi dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Camilius Wambura na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, wakiomba mteja wao aachiliwe huru na alipwe…
-

Mahakama Kuu Bangladesh yaondoa sheria tata iliozua maandamano
Mahakama kuu nchini ya Bangladesh siku ya Jumapili imeondoa sheria yenye utata kwenye mfumo wa utaoji ajira za serikali, ukiwa ni ishara ya ushindi kwa wanafunzi baada ya siku kadhaa za maandamano ya kitaifa, ambapo…
-

Kada wa Chadema aliyetoweka na kukutwa polisi apandishwa kizimbani kimya kimya na kusomewa mashtaka matatu
Kwa mujibu wa hati ya mashtaka ya kesi namba 19759/2024, Kombo ameshtakiwa kwa makosa matatu ambayo ni pamoja na kushindwa kutoa taarifa za kutosha za akaunti ya kadi yake ya simu, kinyume cha kifungu 126…
-

Mshukiwa aliyekiri kuua wanawake 42 kuzuiliwa siku 30
Mshukiwa mkuu wa mauaji na kutupa miili katika eneo la taka la Kware huko Embakasi Nairobi amezuiliwa kwa siku 30 akisubiri uchunguzi zaidi wa kesi hiyo. Hakimu Irene Gichobi aliruhusu ombi lililowasilishwa na DCI na…
-

Anger as mutilated bodies of 9 people found in Nairobi dumpsite
Kenyan police said they have launched an investigation after the mutilated bodies of six women were found on Friday in piles of garbage at a dumpsite in a Nairobi slum. Police briefly fired tear gas…
-

Kenya Inspector General of police resigns after deadly protests
Kenya’s police chief has quit following criticism over dozens of deaths during anti-government protests, the latest head to roll as President William Ruto struggles to contain the worst crisis of his near two-year rule. Ruto…
-

Fukuto ndani ya TLS lazidi kuongezeka, Mawakili waamua kuishtaki
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Ziwa, Steven Kitale amefungua shauri la mapitio ya kimahakama dhidi ya TLS. Shauri hilo namba 16018/2024, lililofunguliwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza mnamo…
-

Amng’oa meno mkewe kisa shilingi 200
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyakatende wilayani Musoma, Musa Abdallah kwa tuhuma za kumn’goa meno matatu mke wake kwa kutumia Praizi kwa kile kilichoelezwa ni ugomvi wa Sh. 200.







