Kenya
-

Ruto amrushia Gachagua makombora, adai anawatapeli baadhi ya wagombea wa DCP
Rais William Ruto amemshambulia vikali aliyekuwa Naibu wake Rais Rigathi Gachagua, akimtuhumu kwa kuwatapeli kifedha wanasiasa wanaotaka kuwania nyadhifa za kisiasa kupitia chama chake cha DCP, kwa kuwalazimisha kulipa mamilioni ya pesa ili kupata tiketi…
-

Kenya seizes $27 million crystal meth haul
Kenyan authorities have seized 454 kilograms of crystal methamphetamine worth $27 million in a multi-agency operation, the police said Monday. Kenya has long served as a transit route for narcotics because of its strategic location…
-

FKF President Hussein Mohamed Breaks Silence On Mariga Expulsion, Alleges Power Grab
FKF President Hussein Mohamed has broken his silence on the expulsion of former Vice President McDonald Mariga, accusing him of attempting to wrest control of the federation and pursue personal interests within Kenyan football.
-

Gachagaua awataka mawakili kuwa katika mstari wa mbele kutetea haki za wakenya
Kiongozi wa chama cha DCP Rigathi Gachagua, ametetea mikutano ya kitamaduni inayoandaliwa na jamii ya Mlima Kenya, akipuuza madai kuwa mikutano hiyo inachochea ukabila na kusisitiza kuwa wenyeji wa eneo hilo hawapaswi kujutia kupigania haki…
-

Mackenzie Sentenced to 200 Years in Prison
Doomsday preacher and cult leader Paul Mackenzie has been sentenced to 200 years in prison over the Shakahola massacre, in which 191 people, including 190 children, died after extreme religious fasting. Lady Justice Diana Kavedza…
-

Tanzania opposition leader sentenced to four years in treason trial
Tanzanian opposition leader Tundu Lissu was sentenced to four years in prison on Friday for inciting unrest, avoiding the heavier charge of treason that carries the death penalty, in a case that has drawn international…
-

CHADEMA yaibua wasiwasi kuhusu taarifa za uwezekano wa Lissu kufungwa miaka mitano jela
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa, ameibua wasiwasi kufuatia taarifa zinazodaiwa kusambaa kuhusu uwezekano wa Mwenyekiti wao Tundu Lissu, kuhukumiwa kifungo cha miaka mitano jela katika kesi ya uhaini…
-

Ebola yahujumu ajira Saudi Arabia, Mashirika ya uajiri Kenya yakikadiria hasara
Mashirika ya uajiri nchini Kenya yanakadiria hasara kubwa za kifedha huku maelfu ya Wakenya waliokuwa wameajiriwa nchini Saudi Arabia wakikumbwa na sintofahamu kufuatia kukatizwa kwa safari kutoka na na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola aina…
-

Dpp Opposes Bail Bid By Dusit D2 Convict Pending Appeal
The two were convicted on May 22, 2025, over their involvement in the January 2019 Dusit D2 attack and were each sentenced to 30 years in prison on June 17, 2025.








