East Africa

  • Kesi ya waislamu kupinga mamlaka ya BAKWATA kuendelea leo

    Kesi ya waislamu kupinga mamlaka ya BAKWATA kuendelea leo

    Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania, Sheikh Issa Ponda, pamoja na viongozi wengine 11 wa Kiislam, ndio waliofungua kesi hiyo ya kikatiba katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam wakipinga mamlaka…

  • Kesi ya Dk Slaa kutajwa leo katika Mahakama ya Kisutu

    Kesi ya Dk Slaa kutajwa leo katika Mahakama ya Kisutu

    Hii leo inatajwa kwa ajili ya kuangaliwa iwapo upelelezi wa kesi umekamilika, ingawa imefungwa mikono kuendelea na hatua zaidi baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini kuwasilisha kusudio la kukata rufaa katika Mahakama ya Rufani kupinga…

  • Miaka 48 ya CCM, yaendelea kushika dola

    Miaka 48 ya CCM, yaendelea kushika dola

    Chama tawala nchini Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) leo kinaadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake huku kikijivunia kuendelea kushikilia dola nchini humo.

  • Injini za Airbus A220-300 zasababisha hasara ya bilioni 127 kila mwaka

    Injini za Airbus A220-300 zasababisha hasara ya bilioni 127 kila mwaka

    Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo ya kiusanifu ya injini za Airbus A220-300 ambazo zimekuwa zinapata hitilafu mara kwa mara, yanasababisha kukosa mapato wastani wa Sh. bilioni 127.3 kwa mwaka.

  • Bei ya mafuta ya Dizeli, Petroli yaongezeka nchini Tanzania

    Bei ya mafuta ya Dizeli, Petroli yaongezeka nchini Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa leo, bei ya petroli kwa rejareja katika Jiji la Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 0.957, dizeli kwa asilimia 2.18 na mafuta ya taa kwa asilimia 1.25.

  • US freezes funding contributions to Kenya-led Haiti mission: UN

    US freezes funding contributions to Kenya-led Haiti mission: UN

    The UN Security Council gave the green light in October 2023 to the Multinational Security Support (MSS) mission designed to support Haiti’s authorities in their fight against criminal gangs, which control swaths of the country.

  • Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia

    Mtukufu Aga Khan IV afariki dunia

    Mtukufu Aga Khan, anayefahamika kama Karim Al-Hussaini Aga Khan IV, alijulikana kwa mchango wake mkubwa katika kuboresha ustawi wa binadamu kupitia miradi mbalimbali duniani.

  • M23 rebels declares ceasefire in DRC’s war-torn east

    M23 rebels declares ceasefire in DRC’s war-torn east

    Rwandan-backed armed group M23 announced a humanitarian “ceasefire” from Tuesday in DR Congo’s perennially explosive east, days before a planned crisis meeting between Congolese President Felix Tshisekedi and Rwandan President Paul Kagame.

  • Mgodi wa madini waporomoka na kufunika watu 12 nchini Kenya

    Mgodi wa madini waporomoka na kufunika watu 12 nchini Kenya

    Watu kumi na wawili wamekwama baada ya mgodi wa dhahabu katika eneo la magharibi mwa Kenya kuanguka sehemu yake, polisi wamesema leo Jumanne.

  • Mbunge wa Kenya amtaka Rais Samia kuelezea mbona alizuiliwa Kuingia Tanzania

    Mbunge wa Kenya amtaka Rais Samia kuelezea mbona alizuiliwa Kuingia Tanzania

    Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere walimjulisha Babu Owino kuwa jina lake lilikuwa kwenye orodha ya watu wasio na kubalika  nchini Tanzania.

Latest News
Search