East Africa
-

Wasira awakosoa wanaohoji umri wake na kazi aliyopewa na CCM
Wasira ametoa mfano wa Donald Trump, ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Marekani katika uchaguzi wa hivi karibuni, akisema kuwa licha ya umri wake mkubwa, Wamarekani walimchagua kwa sababu ya sera zake na si kwa kuangalia…
-

Tshisekedi: Jeshi linatekeleza wajibu wake dhidi ya uvamizi wa M23
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Tshisekedi, amesema jeshi lake linatekeleza wajibu dhidi ya wapiganaji wanaoungwa mkono na Rwanda, waliovamia maeneo mapya mashariki mwa nchi, na alionya juu ya uwezekano wa “kuongezeka …
-

Lissu assumes office with message of hope!, ‘’I will stand for justice and fairness’’
”We will not sideline anyone. We will work together and ensure everyone gets justice”
-

Rwanda, DR Congo leaders in crisis summit as Goma’s fate hangs in balance
The president of crisis-hit Democratic Republic of Congo was set to meet his Rwandan counterpart at an emergency summit on Wednesday, as fighters backed by Kigali appeared on the brink of seizing the key city…
-

Mapigano yalipuka Goma, wakati wa kikao cha Baraza la Usalama la UN kikiendelea
Risasi zilisikika katika maeneo kadhaa ya mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), siku leo Jumanne, wakati wanajeshi wa Kongo walipokutana uso kwa uso na wapiganaji wa kikundi cha M23, kilichosaidiwa na wanajeshi…
-

Uganda, Kenya, French and US embassies attacked by protesters in DR Congo
Gunshots rang out on Tuesday through parts of the besieged DR Congo city of Goma, where Congolese soldiers have clashed with militia fighters backed by Rwandan troops, while furious protesters attacked embassies in the capital…
-

Kenya yaanzisha mchakato wa kuunda tume mpya ya uchaguzi
Rais wa Kenya William Ruto ameteua jopo la watu tisa walio na jukumu la kuwasaili na kuwachuja watakaokuwa kwenye nafasi za Uenyekiti na makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC).
-

Waasi wa M23 wauteka mji wa Goma
Waasi wa kundi la M23 wameingia kwenye kitovu cha mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Goma, masaa kadhaa baada ya kutangaza kutwaa udhibiti wa mji huo muhimu.
-

Mwaka 2024 waelezwa kuwa mwaka hatari zaidi kwa wanawake wa Kenya
Karibu wanawake 200 wa Kenya waliuawa katika visa vya ukatili wa kijinsia mwaka 2024, ikiwa ni mara mbili ya idadi ya mwaka uliopita, kulingana na taarifa kutoka kwa vikundi vinavyofuatilia hali hiyo.
-

Border closed between Rwanda and DR Congo near Goma
The border between Rwanda and DR Congo near the besieged city of Goma was closed on Monday, a European consulate source and witnesses said, hours after militia fighters and Rwandan troops entered the eastern Congolese…







