East Africa
-

Watatu wadaiwa kumbaka mwanafunzi mkoani Shinyanga
Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga linawashikilia vijana watatu kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa shule ya sekondari Kishimba iliyopo Manispaa ya Kahama mkoani humo wakati akitoka dukani kununua vitu.
-

CCM yataka maoni chanya ya wananchi kuhusu mkataba wa bandari yasikilizwe.
Wito huo umetolewa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan kilichofanyika Julai 09, jijini Dodoma.
-

Mawaziri SADC wajadili hali ya amani DRC na Msumbiji
Mkutano huo umeongozwa na Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Namibia, Netumbo Nandi Ndaitwah ambapo pamoja na mambo mengine, amezisihi Nchi…
-

Ummy:Punguzeni semina wananchi wapate huduma
Waziri wa Afya nchini Tanzania, Ummy Mwalimu amewataka wataalamu wa afya nchini humo kupunguza semina ili kuwa na muda zaidi wa kutoa huduma bora za matibabu kwa wananchi.
-

Mabomu ya machozi, kukamatwa na polisi, huku Wakenya wakipinga ongezeko la ushuru
Odinga alitangaza mipango ya kukusanya saini milioni 10 kwa nia ya kumwondoa afisini Rais William Ruto
-

Tear gas fired on opposition convoy as Kenyans stage protests
Police were out in force for the protests, the latest called by Odinga this year over the policies of the government of President William Ruto.
-

Over 10 million people have signed up to Threads, Meta’s rival to Twitter
Threads was introduced as a clear spin-off of Instagram, which offers a built-in audience of more than two billion users, sparing the new platform the challenge of starting from scratch.
-

WHO yatangaza dozi milioni 18 za dawa za malaria kwa mataifa 12 ya Afrika
Mnamo 2021, asilimia 96 ya vifo vya malaria duniani vilitokea barani Afrika
-

Lissu:Mifumo ya viwango vya kodi inapaswa kuwa wazi.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema mifumo na viwango vya kodi inapaswa kuwa wazi ili anayelipa ajue analipa kiasi gani na anayekusanya ajue anakusanya kiasi gani.
-

Bei mpya za mafuta kuanza kutumika leo nchini Tanzania, huku bei ya mafuta ya Petrol ikishuka
Katika taarifa iliyotolewa jana na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeeleza kuwa bei kikomo zinazoanza leo Julai 5, 2023 kuwa bei za rejareja za mafuta ya petroli na dizeli yaliyopokelewa…







