East Africa
-

Kenya’s Ruto signs contentious tax bill into law
The new law — expected to generate more than $2.1 billion — will hike taxes on basic goods and services including food and mobile money transfers.
-

#KENYA: Mbio za Safari Rally zinafanyika wikendi hii jijini Naivasha, Ali Kiba naye atatumbuiza
Rais William Ruto alisema mashindano hayo ya 2023 ya WRC Safari Rally yaliyosubiriwa kwa hamu yatakuza utalii na kubuni fursa za kiuchumi
-

Mwanafunzi wa kidato cha tano aliyepotea apatikana
Mapema hii leo, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera alitangaza dau la shilingi Milioni tano kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mwanafunzi huyo.
-

Hekta 74,432 za hifadhi ya Taifa ya Ruaha kurejeshwa kwa wananchi
Serikali imesema itarejesha hekta 74,432 kwa wananchi wa Mbarali zilizokuwa eneo la hifadhi ya Taifa ya Ruaha, baada ya hatua ya wananchi kuziomba kushindikana kwa takribani miaka saba.
-

Upinzani Uganda waitaka serikali kuwarejesha wanajeshi nyumbani baada ya shambulio
Mamlaka zilisema kundi la Allied Democratic Forces (ADF), wanamgambo walioko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, walivuka mpaka na kuwaua kwa umati watu 42, wakiwemo wanafunzi 37
-

Waziri wa Kenya anakabiliwa na mvutano mkali dhidi ya kundi la wanahabari
Muungano wa Wanahabari wa Kenya (KUJ) ulisema “anakuwa ishara ya aibu ya kitaifa”
-

Ananilea Nkya- The woman who fought for gender equality and justice in Tanzania
Dr. Ananilea Nkya is described as one of the leading, and most outspoken, feminists in Tanzania
-

Wamteka mtoto wa miaka 9 ili walipwe milioni 50
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema watuhumiwa hao ni Joseph John(24) Yusuph Sadick (27) wakazi wa Mtaa wa Milupwa, Abrahamu Kassim (28) Mkazi wa Mtaa wa Misunkumilo Manispaa ya Mpanda…
-

Bashe:Serikali haijazuia watu kuuza mazao nje ya nchi
Waziri wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe amesema Serikali haijazuia watu kufanya biashara ya kuuza mazao nje ya nchi, badala yake kilichozuiwa ni watu kufanya biashara bila kufuata utaratibu wa kisheria.
-

Watiwa mbaroni wakiwa na kilo 60 za bangi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Janeth Magomi amesema watuhumiwa hao na vitu hivyo vimekamatwa kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia tarehe 28/05/2023 hadi tarehe 21/06/2023 kupitia misako na doria mbalimbali.







