East Africa
-

Tanzania na Marekani kushirikiana kibiashara kupitia Sekta binafsi
Serikali ya Tanzania imefungua milango ya ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Marekani kupitia Sekta Binafsi ili kuchochea biashara kupitia uwekezaji ikiwa ni utekelezaji wa mazungumzo kati ya Marais wa nchi hizo…
-

Rais Ruto Atumia “Minofu Ya Maendeleo” Kuinasa Nyanza .
Rais wa Kenya WIlliam Ruto na naibu rais Rigathi Gachagua Jumanne asubuhi Wameandaa kikao na viongozi kutoka eneo la Nyanza katika ikulu ya Nairobi kufuatia ziara yake ya hivi majuzi katika eneo hilo.
-

Serikali Yamuonya Kiongozi Wa Upinzani Raila Odinga Dhidi Ya Maandamano
Waziri wa usalama wa ndani nchini kenya Kithure kindiki amemuonya odinga dhidi ya maandamano
-

Raila Odinga ashinikiza Tume ya Uchaguzi (IEBC) Kuondolewa
Odinga sasa anaitaka tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini kenya IEBC kuondolewa na kisha kubuniwa kwa mfumo mpya wa uchaguzi
-

Polisi wa Kenya wamehukumiwa kwa mauaji ya wakili wa haki za binadamu
Maafisa watatu wa polisi wa Kenya walihukumiwa kifungo cha kuanzia miaka 24 jela hadi hukumu ya kifo kwa mauaji ya kikatili ya wakili Willie Kimani
-

Mbona usalama wa Rais wa zamani wa Kenya Uhuru Kenyatta umepunguzwa?
Inspekta Jenerali alitupilia mbali madai yoyote kwamba uamuzi huo ulichochewa kisiasa
-

#KENYA: Walimu wakamatwa kwa kuwalazimisha wanafunzi wachanga kufanya vitendo vya kiutu uzima
Video hiyo ilionyesha wavulana wanne waliovalia sare za shule wakiiga vitendo vya ngono chini ya mti katika eneo la shule huku walimu wakitazama
-

Idris Elba kufungua studio ya filamu nchini Tanzania
Hii ni baada ya Elba na mkewe, Sabrina Elba, kukutana na Rais Suluhu kando ya Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos, Uswizi, mapema mwezi huu
-

Mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanaharakati wa LGBTQ Edwin Chiloba kushtakiwa
Jacktone Odhiambo, ambaye alikiri kumuua Edwin Chiloba kwa madai ya kutokuwa mwaminifu katika uhusiano wao atakabiliwa na mashtaka ya mauaji
-

Mwanaume wa Uganda atunukiwa Sh.10M baada ya mpenzi wake kukataa kuolewa naye
Mwanamume huyo aliyevunjika moyo alisema alitaka mchumba wake amalize masomo yake kabla ya kufunga pingu za maisha







