East Africa
-

Raila Odinga Astaafu Kama Mwakilishi Mkuu Wa Umoja Wa Afrika Kwa Maendeleo Ya Miundombinu
Taarifa ya kustaafu kwake Odinga ilitangazwa na mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat.
-

Rais William Ruto Amthubutu Raila Kuandaa Maandamano
Ruto alikuwa anamjibu odinga ambaye aliipa serikali ya Rais Ruto makataa ya siku 14 kupunguza gharama ya maisha la sivyo ataandaa maandamano kote nchini Kenya.
-

Kenya kuchunguza unyanyasaji wa kingono kwa wafanyakazi katika mashamba ya chai kufuatia makala ya BBC
Zaidi ya wanawake 70 wanaofanya kazi katika mashamba ya chai walifichua kwamba walikuwa wamenyanyaswa kingono na wasimamizi wao kwa miaka mingi
-

Watu 10 wauawa katika shambulio Somalia
Mamlaka inasema jengo wamemaliza hali ya kuzingirwa kwa jengo lililokuwa likishambuliwa na wapiganaji wa kundi la kiislamu la al-Shabab.
-

Tanzania yaidhinisha kibali cha ujenzi wa bomba la mafuta la dola bilioni 3.5
Bomba hilo lenye urefu wa kilomita 1,443 (maili 900) litasafirisha mafuta ghafi kutoka kwenye maeneo makubwa ya mafuta yanayotengenezwa katika Ziwa Albert kaskazini-magharibi mwa Uganda hadi bandari ya Tanzania kwenye Bahari ya Hindi kwa ajili…
-

Tanzania yaidhinisha mradi wa bomba la mafuta wenye thamani ya dola bilioni 3.5
Bomba hilo lenye urefu wa kilomita 1,443 litasafirisha mafuta ghafi kutoka Ziwa Albert kaskazini magharibi mwa Uganda hadi bandari ya Tanzania
-

Muuguzi wa Hospitali ya Entebbe akamatwa kwa madai ya kuwabaka wagonjwa
Kutesa Denis aliwatambua waathiriwa wake kutoka wadi ya Magonjwa ya Wanawake na kisha kuwatia dawa inayoshukiwa kuwa chloroform kabla ya kuwabaka
-

Ni wasaliti hao,hawafai kuwa nasi! Viongozi wa ODM waliokutana na Rais Ruto matatani
Hatua ya baadhi ya viongozi kutoka chama cha ODM ambacho kipo katika mrengo wa upinzani nchini Kenya kukutana na Rais William Ruto imezidi kuzua joto la kisiasa,hii ikiwa baadhi ya masuala ambayo yalizungumziwa katika mkutano…
-

Mwili Wa Aliyepigania Uhuru Nchini Kenya Dedan Kimathi Upo Wapi?Familia Yapaza Sauti.
Familia ya mmoja ya waliopigania Uhuru nchini Kenya Dedan kimathi sasa inaitaka serikali ya Rais Wiliam Ruto kuwasaidia ili wapate mabaki ya mpendwa wao ili wakati mke wake Mukami Kimathi atakapofariki atazikwa kando yake. Wakizungjmza…
-

GST: Hakuna madhara yaliyoripotiwa kutokana na tetemeko la ardhi Dodoma.
Akizungumza leo na waandishi wa habari Mjiolojia Mwandamizi kutoka Taasisi ya Jiolojia na na Utafiti wa Madini Tanzania (GST), Gabriel Mbogoni alisema kuwa Februari 16, mwaka huu saa 12.13 jioni tetemeko lenye ukubwa wa Richert…







