East Africa
-

Aliyegongwa na basi la mwendokasi atambuliwa na ndugu zake.
Majeruhi huyo ayetambulika kwa jina la ‘Osam Milanzi’ na kutajwa kuwa mkazi wa Manzese Midizini, ametambuliwa siku moja baada ya kuanza kuongea na kujitaja kwa jina la Osam mkazi wa Manzese.
-

Chama Cha UDA Chafanya Mabadiliko Katika Uongozi Wake
Gavana wa Embu Cecily Mbarire ameteuliwa kama mwenyekiti wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) Chake rais William Ruto.
-

Kenya yapiga marufuku wafugaji kubeba silaha
Rais wa Kenya William Ruto alisema jana kuwa wafugaji wa kaskazini hawataruhusiwa tena kubeba silaha wakati wanachunga ng’ombe wao huku kukiwa na operesheni ya kuwapokonya silaha.
-

Jill Biden amesema Pembe ya Afrika inahitaji misaada zaidi kukabiliana na ukame
Biden alitoa wito wa kuangaziwa zaidi juu ya ukame uliovunja rekodi ambao unatishia watu milioni 22 nchini Kenya, Somalia na Ethiopia na njaa
-

Uamuzi Wa Mahakama Ya Upeo Kuhusu Wapenzi Wa Jinsia Moja (LGBTQ) Nchini Kenya Wazua Gumzo Tata
Viongozi wa kidini na wale wa kisiasa serikalini wamejitokeza kushtumu uamuzi huo wa mahakama ambao wameutaja kama kinyume na mila na desturi
-

Wapambe Wa Raila Wazidi Kususia Mikutano Ya Hadhara Ya Upinzani Nchini Kenya
Kukosekana kwa baadhi ya wapambe wa Raila katika mikutano ya hadhara kumeibua maswali mengi
-

Imefichuliwa:Jinsi Rais Ruto Anadaiwa Kuchangia Odinga Kufutwa Kazi Umoja Wa Afrika (AU)
Duru za kuaminika kutoka ofisi ya Umoja wa Afrika (AU) zinadai kuwa Odinga “Kufutwa kazi” kulitokana na kile kinachotajwa kama msururu wa siasa ambazo waziri huyo mkuu wa zamani wa Kenya amekuwa akifanya nchini humo.
-

Mating’i Adinda Kufika Katika Ofisi Za DCI Kuhojiwa
Matiang’i alitakiwa kufika katika ofisi za DCI Ijumaa 24,2023 kuhojiwa kuhusu madai ya maafisa wa polisi kuvamia nyumbani kwake mtaani Karen Jijini Nairobi.
-

Kenya yatoa leseni kwa Taifa Gas, inayomilikiwa na bilionea Mtanzania Rostam Aziz
Taifa Gas ndiyo kampuni kubwa zaidi ya usambazaji wa LPG nchini Tanzania
-

Museveni afanya mazungumzo na Rais wa Ukraine, Zelenskyy
Museveni alisema Uganda ilijizuia na kuchukua msimamo wa kutoegemea upande wowote wakati suala la Urusi na Ukraine lilipokuja kujadiliwa katika Umoja wa Mataifa.







