East Africa
-

Ahukumiwa kifugo cha maisha jela kwa kumnajisi mtoto wake wa kumzaa
Awali, kabla ya kutolewa kwa hukumu hiyo, mtoto huyo ambaye jina lake limehifadhiwa alieleza kuwa kila alipokuwa anakataa kufanyiwa kitendo hicho ,baba yake alikuwa anamng’ata na kumpiga sehemu za mwili wake na kumtishia.
-

Mahitaji ya gesi kwenye magari yaongezeka nchini Tanzania
Mkurugenzi wa Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka TPDC Dkt. Wellington Hudson amesema, hivi karibuni kumekuwa na misururu mirefu ya magari kuingia kwenye vituo vya kujazia gesi baada ya kuwepo kwa idadi kubwa ya watumiaji…
-

Dkt. Mpango atoa wito wa ushirikiano kwa nchi Zisizofungamana na Upande Wowote
Makamu wa Rais amesema hayo katika mji wa Baku nchini Azerbaijan, alipokuwa akihutubia mkutano wa nchi Zisizofungamana na Upande Wowote, mkutano uliolenga kujadili namna ya kukabiliana na athari za UVIKO – 19.
-

Mwanafunzi wa darasa la sita ajinyonga baada ya kufokewa na wazazi wake
Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Benjamin Kuzaga amewaambia waandishi wa habari leo kuwa mwanafunzi huyo alifikia hatua ya kujitoa uhai baada ya kufokewa na wazazi wake.
-

Rais Samia:Nafahamu madhara ya kubadilisha viongozi mara kwa mara.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, mara nyingi hulazimika kuwabadili viongozi mara kwa mara ili kuepusha madhara zaidi kwa Serikali na wananchi ambayo yangeweza kutokea.
-

Godbless Lema wa Chadema arejea nyumbani baada ya kukaa uhamishoni kwa miaka mingi
Lema alikimbia Tanzania Novemba 2020, akiripoti vitisho vya maisha yake kufuatia uchaguzi uliokuwa na utata
-

Uganda yaweka mipango ya sheria mpya dhidi ya mashoga
Serikali ya Uganda mwezi uliopita iliunda kamati kuchunguza madai ya “kukuzwa” kwa haki za mashoga
-

Tanzania na Benki ya Dunia yasaini mkataba wa mikopo nafuu na misaada ya shilingi trilioni 1.3
Waliotia Saini mikataba hiyo Jijini Dar es Salaam, ni Waziri wa Fedha na Mpango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bw. Nathan Belete.
-

Kanisa Katoliki Geita lafungwa kwa muda
Uamuzi huo umetolewa leo na kupitia waraka wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassala, ikiwa ni siku mbili tangu kutokea kwa uvamizi na uharibifu ndani ya kanisa hilo, lililopo Mtaa wa Jimboni, Kata…
-

Tume Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Kenya (IEBC) Yaibua Vita Vya Kisiasa Kati Ya Rais Ruto Na Raila
Rais William Ruto ameteua jopo la wanachama saba ambalo litasimamia mchakato wa kuwachagua makamishana na mwenyekiti wa IEBC.







