East Africa
-

Bobi Wine ndani ya Baraza Kuu la Chadema
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje, John Mrema amethibitisha ujio wa Bob Wine leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya kikao hicho, kitakachotanguliwa na kikao cha kamati kuu itakayoketi kesho…
-

Local sources: Dozens killed in raid on DR Congo gold mine
Raiders killed at least 35 people including a baby in an attack on a gold mine in Ituri.
-

Ndugai asema 2025 hatogombea tena ubunge
Ndugai ambaye amekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa kipindi cha miaka 20 na kushika nafasi mbalimbali kama mwenyekiti wa Bunge, Naibu Spika na baadaye Spika, ametangaza uamuzi huo leo jana Jumapili tarehe 8 Mei 2022.
-

DR Congo: Makumi ya watu wauawa katika uvamizi kwenye mgodi wa dhahabu
Wavamizi waliwauwa takriban watu 35 akiwemo mtoto mchanga katika shambulio kwenye mgodi wa dhahabu huko Ituri, DR Congo
-

Somalia to hold presidential election on May 15
Somalia has not held a one-person, one-vote election in 50 years.
-

Serikali yaanza kutafuta suluhu ya kupanda kwa bei ya mafuta
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala ambazo zitapunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia.
-

Mwandaaji wa shindano la Miss Rwanda ashikiliwa kwa unyanyasaji wa kijinsia
Dieudonne Ishimwe, maarufu kama Prince Kid, alitiwa mbaroni kwa tuhuma za “uhalifu unaohusiana na unyanyasaji wa kijinsia,” Ofisi ya Upelelezi ya Rwanda (RIB) ilisema.
-

Chanel ya YouTube ya Diamond Platnumz yarejeshwa
Ni kawaida kwa mtandao wa Youtube kufungia Channel zilizoripotiwa kudukuliwa, Youtube huzifuta channel zilizoripotiwa kudukuliwa hadi wanafanye uhakiki wa mmiliki halali wa channel hiyo.
-

#Kenya: Rais mstaafu Mwai Kibaki aaga dunia
Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki, ambaye aliongoza Kenya kwa zaidi ya muongo mmoja amefariki dunia,
-

Meneja wa mgodi mwenye asili ya China ahukumiwa kifungo Rwanda kwa kumnyanyasa mwajiriwa
Raia wa China amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kuwatesa wafanyakazi wa mgodi nchini Rwanda







