Besigye asusia kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili, ataka Jaji wa kesi hiyo ajiondoe
Besigye, mwenye umri wa miaka 69, ni mpinzani mkuu wa Rais Yoweri Museveni ambaye amekuwa madarakani kwa karibu miaka 40 na amewahi kushindana naye bila mafanikio katika chaguzi nne.