Tanzania
-
Uchunguzi wa CNN wafichua kaburi la pamoja la Watanzania waliouawa wakati wa mandamano.
Waathiriwa, wengi wao wakiwa hawana silaha, walipigwa risasi na polisi, miili yao ikitupwa kama takataka. Mwanamke mjamzito ambaye alijikuta katikati ya vurugu alifyatuliwa risasi mgongoni wakati akijaribu kukimbia. Daktari aliyewahudumia majeruhi aliripoti muundo wa kutisha…
-

CNN Investigation Reveals Mass Grave of Tanzanians Killed During Protests
The bodies of protesters, killed in the aftermath of the October 29 election, were secretly buried at Kando cemetery.
-

Chadema yaikataa Tume ya Rais Samia, yashinikiza uchunguzi wa Kimataifa
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche, akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Novemba 19, 2025, amesema Rais Samia hana mamlaka ya kimaadili wala kisiasa kuunda chombo cha kuchunguza kile chama hicho kinachokitaja kuwa ni…
-

Tanzania election violence commission is not ‘independent or impartial’: opposition
The commission cannot be independent or impartial, especially in a situation where the government is the primary suspect in the crimes being investigated.
-

Chakwera appointed chief mediator in Tanzania’s deadly post-election violence
Former Malawi President Dr. Lazarus Chakwera has been appointed by the Commonwealth as Special Envoy to Tanzania, a role aimed at helping the country navigate post-election tensions and move toward national dialogue.
-

Tanzanian imams condemn election-related killings
Muslim leaders in Tanzania on Saturday condemned killings by security forces on the sidelines of a disputed general election last month.
-

Samia aunda Tume kuchunguza ghasia za uchaguzi, atoa wito wa maridhiano na kuahidi mchakato wa Katiba Mpya ndani ya siku 100
Akitangaza hatua ya serikali kuunda Tume maalum ya uchunguzi, alisema uchunguzi huo utakuwa msingi wa kuelewa chanzo cha migogoro na kuchukua hatua za kurejesha maelewano ya kitaifa.
-

U.S Senators Threaten Bilateral Review With Tanzania Over Predetermined Election Results
”Tanzania’s election was decided well before October 29th. In response to these less than credible elections, Tanzanians took to the streets to display their deep frustration and anger”.
-

Ado amshauri Nchemba kusimamia mchakato wa Katiba Mpya
“Tunaamini utaisimamia maboresho ya demokrasia nchini na kuipatia Tanzania Katiba Mpya, hasa ikizingatiwa kwamba siasa na vyama vya siasa viko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu,”
-

Tanzania Lutheran church condemns deadly election, demands justice to victims
The Evangelical Lutheran Church in Tanzania (ELCT) has today issued a hard-hitting statement condemning the deadly violence that marred the electoral process and calling for peace, justice, and national unity.







