Tanzania
-

Tanzania opposition party barred from upcoming elections
Chadema leader Tundu Lissu, who was arrested and charged with treason earlier in the week, previously said that his party would not participate in the polls without electoral reform.
-

Amnesty International yaitaka Tanzania kumwachilia huru kiongozi wa upinzani Tundu Lissu
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limeitaka serikali ya Tanzania kumwachilia mara moja na bila masharti yoyote kiongozi wa chama cha upinzani Chadema, Tundu Lissu, aliyekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya uhaini.
-

CHADEMA: Our movement demands electoral reforms, not treason
‘’No Reform No Change movement slogan” does not mean rebellion but the party’s firm stand against corrupt electoral systems.
-

ACT Wazalendo: Hakuna Mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi katika Bajeti ya Waziri Mkuu
Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi wake kuhusu kutoweka kwa matumaini ya mageuzi katika sheria za uchaguzi, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
-

Lissu afikishwa Mahakamani kwa Kesi ya Uhaini, Mikutano ya CHADEMA yasitishwa
Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025, wilayani Mbinga mkoani Ruvuma muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara. Usiku huo huo alisafirishwa kwa magari hadi Dar es Salaam na kufikishwa katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central),…
-

Tanzania Opposition leader Tundu Lissu arrested
Tanzania’s opposition leader and Chadema chairman, Tundu Lissu, has been arrested in Mbinga, Songea region, moments after addressing a public rally. According to the party, Lissu was arrested by police officers who were under the…
-

Asilimia 34.3 ya Vijana Wanapata VVU kila Mwaka
Haya yameelezwa leo Aprili 9,2025, bungeni jijini Dodoma na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2025/2026, ambapo ameeleza kuwa takwimu zilizopo…
-

Chama cha kuwatetea Walimu chaja na mapya, walimu wanadai zaidi ya billion 12
Chama cha kutetea haki na maslahi ya walimu Tanzania (CHAKAMWATA), kimetangaza kutua mahakamani kuzishtaki Halmashauri mbalimbali nchini kwa madai ya kushindwa kulipa stahiki za watumishi wa kada ya ualimu kwa kushirikiana na Chama Cha walimu…









