Tanzania
-

Miaka 48 ya CCM, yaendelea kushika dola
Chama tawala nchini Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) leo kinaadhimisha miaka 48 ya kuzaliwa kwake huku kikijivunia kuendelea kushikilia dola nchini humo.
-

Injini za Airbus A220-300 zasababisha hasara ya bilioni 127 kila mwaka
Kamati ya Bunge ya Miundombinu imesema matatizo ya kiusanifu ya injini za Airbus A220-300 ambazo zimekuwa zinapata hitilafu mara kwa mara, yanasababisha kukosa mapato wastani wa Sh. bilioni 127.3 kwa mwaka.
-

Bei ya mafuta ya Dizeli, Petroli yaongezeka nchini Tanzania
Kwa mujibu wa taarifa hiyo iliyotolewa leo, bei ya petroli kwa rejareja katika Jiji la Dar es Salaam imeongezeka kwa asilimia 0.957, dizeli kwa asilimia 2.18 na mafuta ya taa kwa asilimia 1.25.
-

Mbunge wa Kenya amtaka Rais Samia kuelezea mbona alizuiliwa Kuingia Tanzania
Wafanyakazi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere walimjulisha Babu Owino kuwa jina lake lilikuwa kwenye orodha ya watu wasio na kubalika nchini Tanzania.
-

Rais Samia Suluhu kuwa Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa Kilele nchini Tanzania unaolenga Kumaliza Mgogoro wa DRC
Mazungumzo hayo yanatarajiwa kulenga kurejesha amani na utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambayo imekumbwa na ghasia na uhamiaji mkubwa.
-

President Samia Suluhu to Chair Key Summit in Tanzania Focused on Ending DRC Crisis
This summit comes amid rising concerns over rebel group advances in the DRC, particularly the M23, backed by Rwanda, and the growing diplomatic tensions between several African countries
-

Mwabukusi:TLS haijalamba asali, tutakosoa pale inapobidi
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwambukusi, amesema kuwa TLS siyo kikundi cha kigaidi bali ni taasisi halali inayofanya kazi kwa mujibu wa sheria, ikiwa na haki ya kuishauri, kupongeza, na hata kuikosoa…
-

Kenyan MP writes demand letter to President Samia over his brief detention in Tanzania
The Embakassi East now demands a response from the Tanzania administration through President Samia Suluhu on why he was briefly detained at Julius Nyerere international Airport
-

Wanajeshi wawili wa Tanzania wauawa katika mapigano DRC
Wanajeshi wawili wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameuawa katika mapigano yaliyotokea katika kipindi cha siku kumi zilizopita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
-

Wasira awakosoa wanaohoji umri wake na kazi aliyopewa na CCM
Wasira ametoa mfano wa Donald Trump, ambaye amechaguliwa kuwa Rais wa Marekani katika uchaguzi wa hivi karibuni, akisema kuwa licha ya umri wake mkubwa, Wamarekani walimchagua kwa sababu ya sera zake na si kwa kuangalia…







