Tanzania
-

Bakwata yaitaka serikali ya Tanzania kuchunguza mauaji na utekaji nyara
Baraza kuu la Waislamu nchini Tanzania, Bakwata, limetoa wito kwa serikali kuanzisha uchunguzi huru kuhusiana na matukio ya utekaji nyara na mauaji ya raia, vitendo vinavyodaiwa kutekelezwa na vyombo vya dola.
-

Tanzanian Government Restores Delisted Villages in Ngorongoro Ahead of Elections
The villages were initially removed as part of a broader government move announced on August 2, 2024.
-

Simba SC goalkeeper, Aishi Manula, attacked after CAF Cup match in Libya
Aishi Manula, the goalkeeper of Tanzanian club Simba, was struck by a policeman after a stormy CAF Confederation Cup qualifier in Libya on Sunday, an official from the visiting team told AFP. The second round,…
-

CCM yajitoa kuhusika na utekaji Tanzania, yataka ushirikiano na upinzani kukomesha utekaji nchini.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi, amekanusha vikali madai kwamba chama chake kinahusika na matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini Tanzania. Nchimbi alisisitiza kuwa vitendo hivi vinachochewa na magenge ya uhalifu…
-

Jeshi la Polisi Tanzania laonya na kupiga marufuku maandamano ya CHADEMA
Jeshi la Polisi Nchini Tanzania limetoa onyo kali na kupiga marufuku maandamano yaliyotangazwa na viongozi wa CHADEMA yatakayofanyika tarehe 23 Septemba 2024. Polisi wameonya kwamba mtu yeyote atakayepatikana akiingia barabarani atakabiliwa na hatua kali za…
-

Chadema kuandamana kudai upatikanaji wa waliotekwa Tanzania
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amesema kuwa hadi Septemba 21, 2024, wana matarajio ya kuona hatua za dhati kutoka kwa Serikali, vinginevyo maandamano yatafanyika kama ilivyopangwa.
-

Opposition in Tanzania calls for protest over Increased cases of abductions and Killings
Tanzania’s main opposition party Chadema has called for fresh demonstrations over increased cases of abductions, and Killings. Addressing a crisis meeting at the party headquarters in Mikocheni, Dar es Salaam, party chairman Freeman Mbowe said…
-

TLS yamtaka IGP, Masauni kuwajibika matukio ya utekaji Tanzania, yasisitiza tume huru kuchunguza
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimesikitishwa na kulaani kitendo cha utekaji na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema Ali Mohamed Kibao aliyefariki siku moja baada ya kuchukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari polisi katika…
-

Mbowe Convenes Party Crisis Meeting Following Ali Kibao’s Murder
Following the abduction, torture, and brutal murder of Chadema official, Ali Mohamed Kibao, Chadema Party Chairman Freeman Mbowe has convenes a party crisis meeting. Speaking during the emotional send-off of Mr Kibao in his Togoni…








