Waasi waua watu 16 katika shambulio la mashariki mwa DR Congo
Shambulio hilo lilitokea Jumapili jioni huko Bulongo katika jimbo la Kivu Kaskazini
Shambulio hilo lilitokea Jumapili jioni huko Bulongo katika jimbo la Kivu Kaskazini
Katika shambulio la hivi punde la waasi, watu 16 waliuawa 7 kujeruhiwa na magari yalichomwa wakati wa uvamizi wa usiku katika eneo lenye hali tete la mashariki, Shirika la Msalaba Mwekundu lilisema
Mkasa huo ulikuwa wa hivi punde zaidi katika mfululizo wa matukio mabaya yaliyoangazia mapungufu katika mfumo wa afya wa Senegal.
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa cha Nigeria (NCDC) kilisema kufikia Jumapili visa 66 vinavyoshukiwa kuwa vya Monkeypox vimeripotiwa katika majimbo tisa kati ya 36 nchini humo na katika mji mkuu Abuja.
Atiku Abubakar, mwenye umri wa miaka 75, Muislamu wa kaskazini na mwanasiasa wa chama cha People’s Democratic Party au PDP, amewania mara kadhaa tiketi ya urais wa nchi hiyo
Mzozo wa kidiplomasia kati ya majirani hao wawili unaongezeka, huku pande zote mbili zikishutumiana kusaidia wanamgambo wenye silaha katika eneo la Goma
Sudan imekuwa ikikabiliwa na machafuko yanayozidi kuongezeka tangu Burhan aongoze mapinduzi mnamo Oktoba 25
Mamlaka ya Palestina (PA) na Al Jazeera wameshutumu vikosi vya Israeli kwa kumuua Shireen Abu Akleh mnamo Mei 11 alipokuwa akiripoti operesheni ya Israeli katika mji wa Jenin, Ukingo wa Magharibi.
Kulingana na NGOs, takriban watu 26,000 wamekimbia eneo la Rutshuru tangu Mei 22. Watu wengine 11,000 wamekimbia eneo la Nyiragongo
Nigeria itakwenda uchaguzini Februari 2023 kumchagua mrithi wa Rais Muhammadu Buhari ambaye ataondoka uongozini baada ya kuhudumu kwa mihula miwili.