Nigeria: Mwanafunzi wa Kikristo apigwa mawe na umati hadi kufa kwa shtuma za kukufuru
Wanafunzi Waislamu kaskazini magharibi mwa Nigeria walimpiga kwa mawe mwanafunzi Mkristo hadi kufa na kuchoma maiti yake baada ya kumtuhumu kwa kumkufuru Mtume Muhammad