Kampuni ya Urusi yafunga mgodi mkubwa wa dhahabu wa Burkina kwa sababu za kiusalama
Kaskazini mwa Burkina Faso ni kitovu cha mashambulizi ya wapiganaji wa Kiislamu waliovuka mpaka kutoka nchi jirani ya Mali mwaka wa 2015
Kaskazini mwa Burkina Faso ni kitovu cha mashambulizi ya wapiganaji wa Kiislamu waliovuka mpaka kutoka nchi jirani ya Mali mwaka wa 2015
Wasomali milioni sita au asilimia 40 ya watu sasa wanakabiliwa na viwango vya juu vya uhaba wa chakula, kulingana na ripoti mpya ya Integrated Food Security Phase Classification
Msanii mwenzake, Frank Edwards, alidai kwamba mwimbaji huyo alikuwa na mume mkatili ambaye alimpiga mara kwa mara kabla ya kifo chake.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ameomba kuhutubia Umoja wa Afrika, Rais wa Senegal Macky Sall alisema Jumatatu. Sall, mwenyekiti wa…
Waasi wa ADF, ambao wanafungamana na kundi la Islamic State kama mshirika wake wa Afrika ya kati, wamehusika na ghasia kali dhidi ya raia — mara nyingi kwa mapanga na silaha nyinginezo.
Mtafiti kutoka Colombia amekanyagwa hadi kufa na tembo katika Mbuga ya Kitaifa ya Kibale
Waziri Mkuu wa Italia Mario Draghi aliwasili Algeria huku Roma ikiongeza juhudi za kupunguza utegemezi wake mkubwa wa gesi ya Urusi.
Kwa mujibu wa sheria za Fifa, mbali na rais wa nchi, ni wachezaji waliokuwa sehemu ya timu iliyoshinda Kombe la Dunia pekee ndio wanaruhusa kushika kombe hilo.
Musk alitajwa kujiunga na bodi ya Twitter baada ya kununua hisa za asilimia 9.2 na kuwa mwanahisa wake mkubwa zaidi.
Conde 84 alikuwa rais wa kwanza wa Guinea kuchaguliwa kidemokrasia. Aliondolewa madarakani na maafisa wa jeshi mwaka jana na nafasi yake kuchukuliwa na Kanali Mamady Doumbouya