Watu 17 wanakabiliwa na mashtaka ya kujaribu kuua kwa kushambulia helikopta ya Raila Odinga
Watu hao17 wanahusishwa na kisa cha machafuko ambapo helikopta iliyokuwa imembeba Odinga ilipigwa mawe
Watu hao17 wanahusishwa na kisa cha machafuko ambapo helikopta iliyokuwa imembeba Odinga ilipigwa mawe
Baadhi ya abiria walitekwa nyara na walionusurika walisema watu wenye silaha wamewanyakua abiria kadhaa, lakini haijabainika ni wangapi.
Kwa sasa Elon Musk ndiye mtu tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 287.6, kulingana na Forbes.
Mahakama ya Rufaa ya Rwanda Jumatatu ilipitisha hukumu ya kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya shujaa wa ‘Hotel Rwanda’ Paul Rusesabagina.
Hakuna treni za abiria za kutosha na barabara chache zinazoweza kutumiwa, kwa hivyo watu wanaohitaji kusafiri umbali mrefu mara nyingi husafiri kwa treni ya mizigo.
Waendesha mashtaka wa serikali walikuwa wamekata rufaa dhidi ya hukumu ya awali, wakisema adhabu dhidi ya Paul Rusesabagina ni ndogo na inapaswa kuongezwa hadi kifungo cha maisha.
Uhaba huo ulianza wiki iliyopita magharibi mwa Kenya kufuatia mzozo kati ya makampuni ya uuzaji wa mafuta na serikali kuhusu malipo ya ruzuku, duru zilisema.
Field Marshall Muthoni alijiunga na vuguvugu la maumau akiwa na takriban miaka 20. Kazi yake ya kwanza aliyofanya ilikuwa kama jasusi
Meya wa Hargeisa, mji mkuu wa Somaliland, alikadiria moto ulioteketeza soko la Waheen ulisababisha hasara ya hadi $2B
Jon Batiste alishinda tuzo tano zikiwemo Albamu Bora ya Mwaka.