Baada ya kushinda AFCON, Senegal yazindua uwanja wa michezo wa hadhi ya kimataifa
Uwanja huo umepewa jina la rais wa zamani Abdoulaye Wade, utakuwa ndio uwanja pekee nchini Senegal ulioidhinishwa kwa soka ya kimataifa.
Uwanja huo umepewa jina la rais wa zamani Abdoulaye Wade, utakuwa ndio uwanja pekee nchini Senegal ulioidhinishwa kwa soka ya kimataifa.
Wakili Amollo alisema kuwa mteja wake ni mgonjwa na amelazwa katika Hospitali ya Nairobi ambako amekuwa akipokea matibabu
Mfanyabiashara Stanley Livondo, amesisitiza madai ya kuwepo kwa njama ya mauaji dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta.
“UVIKO 19 bado ni hatari ikiwa “83% ya wakazi wa Afrika bado hawajapokea dozi ya kwanza ya chanjo,” Tedros Adhanom Ghebreyesus WHO
Maandamano yameitikisa nchi hiyo tangu mkuu wa jeshi Abdel Fattah al-Burhan kuongoza unyakuzi wa kijeshi mwezi Oktoba
Kesi imepangwa kuanza Machi 4, wakati Mbowe na watuhumiwa wengine watakapowasilisha utetezi wao.
Walimu na wanafunzi hao walikuwa wakitoka katika safari ya kimasomo katika msafara wa mabasi matatu
Poliomyelitis — neno la kimatibabu la polio ni virusi vya kuambukiza ambavyo hushambulia uti wa mgongo na kusababisha ulemavu usioweza kutenduliwa kwa watoto.
Walienda huko kwa dhamira kutoka kwa Rais Felix Tshisekedi ili kujadili masharti ya kusitisha mapigano na kuwakomesha uharifu katika eneo hilo.
BioNTech ilisema inalenga kuanzisha “kituo cha kwanza cha uzalishaji wa chanjo katika Umoja wa Afrika”