Kenya: Faith Kipyegon aipa Kenya dhahabu yake ya kwanza katika mbio za 1500m
Bingwa mara mbili wa mbio za Olimpiki Faith Kipyegon aliipa Kenya medali yake ya kwanza ya dhahabu katika mbio za mita 1,500 kwa wanawake katika Riadha za Dunia zinazoendelea huko Oregon.