Mwanajeshi wa mwisho wa Marekani aondoka Afghanistan baada ya miaka 20
Wanamgambo wa Taliban washeherekea kuondoka kwa majeshi ya Marekani kwa kufyatua risasi hewani.
Wanamgambo wa Taliban washeherekea kuondoka kwa majeshi ya Marekani kwa kufyatua risasi hewani.
Marekani hadi sasa imefaulu kuwahamisha takriban waafghan 4000 na familia zao wanaoshikilia pasipoti za Marekani.
Mataifa 163 yanashiriki michezo ya Paralympics mwaka huu huku wanariadha 4,400 wakishiriki katika michezo 22.
WAKENYA TUMEKUWA WAKARIMU SANA KUWAPA HIFADHI WAKIMBIZI KUTOKA MATAIFA JIRANI AFRIKA, MATAIFA MENGINE YATUSAIDIE SASA” MSEMAJI WA SERIKALI COL.CYRUS OGUNA