Rais Raisi wa Iran amefariki kwenye ajali ya ndege
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amethibitishwa kuangamia kwenye ajali ya ndege aina ya helikopta aliyokuwa ameabiri pamoja na waziri wake…
Rais wa Iran Ebrahim Raisi amethibitishwa kuangamia kwenye ajali ya ndege aina ya helikopta aliyokuwa ameabiri pamoja na waziri wake…
The Israeli military said Thursday that friendly fire had killed five soldiers the previous day in the northern Gaza Strip, where intense fighting in the Israel-Hamas war has resumed in recent days.
Raia wa kenya anayetarajiwa kunyongwa katika taifa la kiarabu, Saudi Arabia amepata afueni ya dakika za mwisho kufuatia kampeni kubwa ya mitandao ya kijamii.
Israel will allow a “temporary” delivery of aid through its border with the northern Gaza Strip, Prime Minister Benjamin Netanyahu’s office announced on Friday.
Kesi ya mauaji ya halaiki iliyowasilishwa na Afrika Kusini dhidi ya Israel katika Ukanda wa Gaza inasikilizwa, leo Alhamisi, Januari 11, na pia Ijumaa, mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki huko Hague (ICJ), nchini Uholanzi.
Hadi sasa, wizara ya afya imesema watu 8,525 wameuawa Gaza huku 3,500, miongoni mwa hao ni watoto.
Polisi wa eneo hilo walisema Shukla alikamatwa na kufunguliwa mashtaka kuhusiana na shambulio hilo, ambalo linaweza kumfanya atozwe faini na kufungwa jela mwaka mmoja.
The port of Dar es Salaam is the main commercial gateway of Tanzania. Approximately 95 percent of Tanzania’s international trade is served by this port.
The first massive 7.8-magnitude quake struck early Monday
Ndege iliyokuwa na watu 72 imeanguka karibu na uwanja wa ndege katikati mwa Nepal