International
-

Sexual misconduct allegation ‘utterly untrue’, says Elon Musk
News outlet Insider, reports that Musk’s rocket company SpaceX, paid a woman $250,000 in 2018 to settle a misconduct claim against him.
-

France, Germany report first Monkeypox cases
The rare disease, which is not usually fatal, often manifests itself through fever, muscle aches, swollen lymph nodes, chills, exhaustion and a chickenpox-like rash on the hands and face.
-

Wanaotafuta hifadhi Uingereza kuwasili Rwanda katika wiki chache zijazo
makubaliano yanayoiwezesha Uingereza kutuma wahamiaji na wanaotafuta hifadhi Rwanda yamevutia ukosoaji mkali kutoka kwa makundi ya kutetea haki za binadamu, upinzani katika nchi zote mbili na hata Umoja wa Mataifa.
-

Rais wa Senegal amuunga mkono Gana Gueye baada ya shutuma za chuki dhidi ya wapenzi wa jinsia moja
Kiungo huyo wa kimataifa wa Senegal alikosa mchezo wa Ligue 1 dhidi ya Montpellier Jumamosi ambapo wachezaji walipaswa kuvaa jezi za upinde wa mvua kuunga mkono harakati za LGBTQ.
-

Kongamano la Africities laanza rasmi mjini Kisumu,Kenya
Kaulimbiu ya mkutano huo mwaka huu ni, “Wajibu wa miji ya barani Afrika katika utekelezaji wa Ajenda ya Umoja wa Mataifa ya 2030 na Ajenda ya 2063 ya Umoja wa Afrika.
-

Urusi: Mpango wa Uswidi na Ufini kutaka kujiunga na NATO ni ‘kosa kubwa’
Urusi ilionya Jumatatu kwamba maamuzi ya Finland na Uswidi kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO yalikuwa makosa makubwa na Moscow itachukua hatua.
-

Rais wa UAE Sheikh Khalifa afariki akiwa na umri wa miaka 73
Sheikh Khalifa alichukua wadhifa wa rais wa UAE mnamo Novemba 2004, akimrithi baba yake kama mtawala wa 16 wa Abu Dhabi, eneo tajiri zaidi kati ya falme saba za shirikisho hilo.
-

Elon Musk asema mpango wa kununua Twitter ‘umesitishwa kwa muda’
Tangazo la Ijumaa lilisababisha hisa za Twitter kushuka kwa asilimia 20
-

Papa Francis ahimiza utulivu nchini Sri Lanka
Polisi wanasema watu wanane wamefariki tangu Jumatatu, baada ya maandamano na machafuko kuzuka kupinga kudorora kwa uchumi.
-

Malkia akosa kufunguliwa kwa bunge la Uingereza kwa mara ya kwanza tangu 1963
Malkia Elizabeth II mwenye umri wa miaka 96 kwa kawaida husimamia tukio hilo lililojaa fahari







