Urusi yaishutumu Ukraine kuhusika na kifo cha mtoto wa mshauri wa Putin
Idara ya usalama ya FSB ya Urusi leo imesema kwamba Ukraine ndiyo iliyohusika na shambulio la bomu kwenye gari katika viunga vya mji wa Moscow na kumuua binti wa mwana itikadi kali wa Urusi Alexander Dugin.