Kenya yatoa motisha ya kodi ili kuwavutia wawekezaji
Kenya imetoa motisha ya kodi ili kuwavutia wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za binadamu ikiwa ni pamoja na ya UVIKO -19.
wordpress-seo
domain was triggered too early. This is usually an indicator for some code in the plugin or theme running too early. Translations should be loaded at the init
action or later. Please see Debugging in WordPress for more information. (This message was added in version 6.7.0.) in /home/mwanzotv/public_html/wp-includes/functions.php on line 6114Kenya imetoa motisha ya kodi ili kuwavutia wawekezaji wanaotaka kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za binadamu ikiwa ni pamoja na ya UVIKO -19.
Makubaliano kati ya Kenya na Uingereza kuhusu kuajiri wafanyikazi wa Afya yalitiwa saini na Rais Uhuru Kenyatta na Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mnamo Januari 2021.
At least 23 migrants died and 140 police officers were wounded in the ensuing violence, according to Moroccan authorities.
Serikali ya mkoa wa Eastern Cape ilisema wasichana wanane na wavulana 13 walifariki kwenye tavern, katika eneo la makazi linaloitwa Scenery Park.
Shirika la Afya Duniani lilisema wiki iliyopita kwamba Ulaya imesalia kuwa kitovu cha mlipuko wa monkeypox duniani.
Ni nchi nne pekee (Mauritius, Namibia, Seychelles na Afrika Kusini) zimetimiza uwiano wa mfanyakazi wa afya wa WHO kwa idadi ya watu.
chanjo dhidi ya ndui inaweza pia kutumika dhidi ya monkeypox, kabla na baada ya kuambukizwa virusi.
Hospitali kuu ya umma nchini Kenya inasema kumekuwa na ongezeko la idadi ya watu wanajitolea kuuza figo zao.
Misimu minne mfululizo ya mvua haikunyesha katika eneo la Pembe ya Afrika, huku ya tano ikitarajiwa pia kuwa mbaya, na kusababisha ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40 na mzozo mkubwa wa njaa unaohusisha Kenya, Somalia na Ethiopia.
The regional director also warned that the risk was increasing as summer had arrived with “tourism, various Pride events, music festivals and other mass gatherings planned across the region.”