Mwanasiasa wa Nigeria akamatwa na dola 500,000 kabla ya uchaguzi
Katika chaguzi zilizopita, wanasiasa wameshutumiwa kwa wizi wa kura kupitia ununuzi wa kura.
Katika chaguzi zilizopita, wanasiasa wameshutumiwa kwa wizi wa kura kupitia ununuzi wa kura.
Taifa Gas ndiyo kampuni kubwa zaidi ya usambazaji wa LPG nchini Tanzania
Wasaidizi wake waliokuwa pamoja naye pia waliuawa kwa kupigwa risasi kabla ya gari lao kuchomwa moto huku miili ikiwa ndani, vyombo vya habari vya eneo hilo vinaripoti.
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso inajiandaa kuzika masalia ya mwili wa rais wa zamani wa nchi hiyo Thomas Sankara hii leo Alhamisi, huu familia yake ikikataa kushiriki mazishi hayo.
Taarifa ya kustaafu kwake Odinga ilitangazwa na mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika Moussa Faki Mahamat.
Zaidi ya wanawake 70 wanaofanya kazi katika mashamba ya chai walifichua kwamba walikuwa wamenyanyaswa kingono na wasimamizi wao kwa miaka mingi
Mamlaka inasema jengo wamemaliza hali ya kuzingirwa kwa jengo lililokuwa likishambuliwa na wapiganaji wa kundi la kiislamu la al-Shabab.
According to the Christian faith, today is the first day of Lent occurring six-and-a-half weeks before Easter
Lent, which begins on Ash Wednesday is a season for penance, reflection, and fasting to prepare Christian for the holy week in the month of April.
Japan inapanga kuongeza umri wa ridhaa ya ngono kutoka miaka 13 hadi 16. Pendekezo hili liko katika kifungu cha marekebisho…