Mfahamu Humza Yousaf, mwanasiasa mwenye asili ya Kenya, aliyechaguliwa kuwa Waziri wa Kwanza wa Scotland
Kiongozi wa Chama cha Kitaifa cha Uskoti (SNP) ndiye Waziri wa Kwanza mwenye umri mdogo zaidi kuwahi kutokea na wa kwanza kutoka katika makabila madogo