People
-

Jane Marriott anaondoka huku Uingereza ikimteua Kamishna Mkuu mpya nchini Kenya
Marriott alisema kuwa ataikumbuka Kenya baada ya kuhudumu kwa miaka minne, na akadokeza kuchukua jukumu lingine Julai
-

Rais wa Uganda Yoweri Museveni kujadili mswada wa kupinga ushoga na wabunge
Bunge mwezi uliopita liliidhinisha Mswada wa Kupinga Ushoga wa 2023, unaotaka adhabu kali kwa yeyote anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja
-

Wakenya wengi wanaamini Ruto alishinda uchaguzi – Utafiti wa TIFA
Utafiti huo ulifanyika kati ya Machi 11 hadi Machi 19, 2023
-

WHO warns Covid pandemic still volatile
Some countries still have large populations of highly vulnerable people who are unvaccinated
-

Waziri wa Uganda Agnes Nandutu ashtakiwa kwa kashfa ya ufisadi
Uchunguzi wa ufisadi dhidi ya mawaziri ni nadra nchini Uganda
-

Nigeria disinformation tide targets electoral watchdog, courts
INEC acknowledged technical difficulties in the vote counting but denied any large-scale vote rigging
-

Former Indian Lawmaker Killed Live On TV While In Police Custody
The dramatic footage of the men being killed was shared across broadcast channels and social media. A gunman is seen reaching over the shoulders of police to point a pistol at the temple of the…
-

Antonio Guterres atoa wito kwa viongozi wa Sudan ‘kusimamisha uhasama mara moja’
Vurugu hizo zilizozuka Jumamosi zilidumu kwa siku ya tatu Jumatatu na idadi ya waliouawa ikizidi 100
-

The Millions Boston Marathon Winners Will Pocket
According to the prize money that was restructured in 2022, the winner in the men’s and women’s top division will pocket $150,000 (Ksh 20,157,000) with the first runner up taking $75,000 (Ksh10,078,500) while the second…
-

Kesi ya ufisadi ya Zuma nchini Afrika Kusini imeahirishwa hadi Agosti
Zuma anakabiliwa na makosa 16 ya ufisadi na ulaghai yanayohusiana na kandarasi ya kununua ndege za kivita, boti za doria na vifaa kutoka kwa makampuni matano ya silaha ya Ulaya alipokuwa makamu wa rais







