Politics
-

Godbless Lema wa Chadema arejea nyumbani baada ya kukaa uhamishoni kwa miaka mingi
Lema alikimbia Tanzania Novemba 2020, akiripoti vitisho vya maisha yake kufuatia uchaguzi uliokuwa na utata
-

Tume Ya Uchaguzi Na Mipaka Nchini Kenya (IEBC) Yaibua Vita Vya Kisiasa Kati Ya Rais Ruto Na Raila
Rais William Ruto ameteua jopo la wanachama saba ambalo litasimamia mchakato wa kuwachagua makamishana na mwenyekiti wa IEBC.
-

Zoezi La Kuhesabu Kura Katika Uchaguzi Mkuu Nigeria Laendelea
Wagombea 18 wanawania kiti cha Urais kumrithi rais anayeondoka Muhammadu Buhari, ila watatu pekee ndio wameonekana kuwa mibabe
-

Uchaguzi wa Nigeria 2023: Peter Obi ashinda Lagos dhidi ya Bola Tinubu katika matokeo ya awali
Mgombea urais wa chama cha tatu kwa ukubwa nchini Nigeria alisababisha ushindani mkali ambao ulizua ghadhabu kubwa kwa kushinda katika jiji kubwa zaidi la Lagos. Peter Obi wa chama cha Labour amemshinda Bola Tinubu wa…
-

Chama Cha UDA Chafanya Mabadiliko Katika Uongozi Wake
Gavana wa Embu Cecily Mbarire ameteuliwa kama mwenyekiti wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) Chake rais William Ruto.
-

Wapambe Wa Raila Wazidi Kususia Mikutano Ya Hadhara Ya Upinzani Nchini Kenya
Kukosekana kwa baadhi ya wapambe wa Raila katika mikutano ya hadhara kumeibua maswali mengi
-

Imefichuliwa:Jinsi Rais Ruto Anadaiwa Kuchangia Odinga Kufutwa Kazi Umoja Wa Afrika (AU)
Duru za kuaminika kutoka ofisi ya Umoja wa Afrika (AU) zinadai kuwa Odinga “Kufutwa kazi” kulitokana na kile kinachotajwa kama msururu wa siasa ambazo waziri huyo mkuu wa zamani wa Kenya amekuwa akifanya nchini humo.
-

Nigeria kufunga mipaka yake siku ya uchaguzi
Maafisa wa mpaka wameambiwa kuhakikisha utekelezwaji mkali wa agizo hilo.
-

Mwanasiasa wa Nigeria akamatwa na dola 500,000 kabla ya uchaguzi
Katika chaguzi zilizopita, wanasiasa wameshutumiwa kwa wizi wa kura kupitia ununuzi wa kura.
-

Rais Ruto Na Raila Wajibizana Kisa Eti Kufunguliwa Kwa Sava Za Tume Ya Uchaguzi.
Raila amezidi kusisitiza sava za tume ya uchaguzi nchini Kenya (IEBC) zifunguliwe,Ila Rais Ruto naye amemjibu akisema kuwa sava zipo wazi kwa kila mmoja kuangalia matokeo ya uchaguzi mkuu wa 2022.







