Sports
-

Miamba Wa Soka Tanzania Simba Waipa Horoya Kichapo Cha 7-0
klabu ya Simba imefuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kulabua Horoya ya Guinea magoli 7-0
-

Gianni Infantino amechaguliwa tena kuwa rais wa FIFA hadi 2027
Infantino pia ametangaza makadirio ya mapato ya dola bilioni 11 katika miaka minne hadi 2026, ikilinganishwa na $ 7.5 bilioni katika mzunguko wa miaka minne uliomalizika mnamo 2022
-

Chelsea Kumenyana Na Dortmund Katika Dimba La UEFA
Kocha mkuu wa klabu ya Borussia Dortmund Edin Terzic amepuuzilia mbali uwezekano wa nyota Jude Bellingham ya kuondoka kwenye kikosi chake wakati klabu hiyo linajiandaa kumenyana na Chelsea hii leo kwenye kinyanganyiro cha kombe la…
-

Aliyekuwa Kocha Wa Harambee Stars Adel Amrouche Ateuliwa Kocha Wa Taifa Stars Ya Tanzania
Amrouche,58, amewai kuitia makali timu ya soka ya Burundi, Equatorial Guinea, Botswana, Libya na Yemen
-

Sakata la Fei Toto na Yanga kumalizwa muda wowote kuanzia sasa.
Mwanasheria Fatma Karume ambaye anamwakilisha mchezaji Feisal Salum (Fei Toto) amesema kuwa wameiachia kamati itafakari upya maamuzi kuhusu mvutano wa kimkataba uliopo kati ya mchezaji huyo na Yanga SC. Karume amesema hayo mara baada ya…
-

Mabwenyenye Tayari Kutoa Mkwanja Kuinunua Manchester United.
Ractliffe mwenye umri wa miaka 70 na kampuni yake tayari wamewasilisha ofa ya kutaka kununua asilimia 69 ya kuinunua Man United.
-

Mwili Wa Mchezaji Christian Atsu Watua Nchini Ghana,Wapokelewa Na Majeshi.
Atsu mwenye umri wa miaka 31,alipatikana ameaga dunia katika vifusi vya nyumba yake mjini Hatay Uturuki kufuatia tetemeko la ardhi lilotokea Februari 6 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 4,000 huku maelfu ya wengine…
-

Arsenal regain top spot after dramatic finish sinks Villa
Arsenal were without a win in their previous three top-flight games and last four in all competitions, but this spirited victory will give them renewed belief
-

Jezi za Simba zakwama Ethiopia
Akizungumza leo Februari 15, 2023 Ahmed Ally amesema jezi hizo zilianza kukwama nchini China hivyo zilifanyika juhudi za kusukuma mzigo huo ili kuachiwa kwa haraka na baada ya kuachiwa ukakwama tena Ethiopia.
-

Rais Samia kununua magoli ya Simba na Yanga
Rais Samia Suluhu Hassan, ametangaza kununua kila goli litakalofungwa katika michezo ya kimataifa ya Simba na Yanga itakayochezwa mwishoni mwa wiki hii.







