Bei ya Petroli yashuka kiduchu
Kwa mwezi huu wa Juni bei ya rejareja ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeshuka kwa shilingi 53 na kufikia shilingi 3,261 kwa lita moja, ikilinganishwa na bei ya mwezi Mei iliyokuwa shilingi 3,314.
Kwa mwezi huu wa Juni bei ya rejareja ya mafuta ya petroli kupitia Bandari ya Dar es Salaam imeshuka kwa shilingi 53 na kufikia shilingi 3,261 kwa lita moja, ikilinganishwa na bei ya mwezi Mei iliyokuwa shilingi 3,314.
Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini umesema Tanzania haijasaini mkataba wowote na Jamhuri ya Korea unaohusu Bahari wala Madini katika ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan inayoendelea nchini humo.
Iwapo chama cha African National Congress (ANC) kitathibitishwa kuwa kimeshuka chini ya asilimia 50 ya kura, kitalazimisha chama kutafuta washirika wa muungano ili kuchaguliwa tena kuunda serikali mpya.
Mfumo Tovuti ya tume ya uchaguzi ya Afrika Kusini imeonekana kuingiliwa leo Ijumaa wakati nchi hiyo ikihesabu kura za uchaguzi mkuu ambapo chama tawala cha ANC kilionekana kupoteza wingi wake.
Zaidi ya wapiga kura milioni 27 wameandikishwa katika uchaguzi ambao haukuwa na uhakika tangu chama cha African National Congress (ANC) kuliongoza taifa hilo kutoka kwa utawala wa kibaguzi — na huku Rais Cyril Ramaphosa akiomba kuchaguliwa tena.
Katika taarifa lililotolewa mapema leo na msemaji wa serikali ya Kongo Tina Salama na kurushwa na televisheni ya taifa RTNC, baraza hilo jipya lina mawaziri 54 ikilinganishwa na 57 katika serikali iliyopita.
Torrential rainfall in Kenya, Tanzania and neighbouring nations killed more than 500 people
Hadhi ya Kenya inathibitisha nafasi yake muhimu katika mipango ya usalama wa kimataifa na ushirikiano wake imara na Marekani
More than 50 parties are vying to win seats in parliament, which then appoints the president.
Miaka kumi baada ya utekaji nyara wa wasichana wa shule ya Chibok, Nigeria inakabiliwa na kuzuka kwa utekaji nyara mkubwa.