Barack Obama akutwa na UVIKO 19, ahimiza watu wapate chanjo
Licha ya kuwepo kwa vuguvugu la kupinga chanjo nchini humo, Vituo vya Amerika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) vinasema zaidi ya asilimia 80 ya watu wamechanjwa