Rais wa zamani wa Mali, Ibrahim Boubacar Keita aaga dunia
Bw. Keita, maarufu kama IBK, alikuwa rais wa Mali kutoka 2013 hadi 2020.
Bw. Keita, maarufu kama IBK, alikuwa rais wa Mali kutoka 2013 hadi 2020.
Maandamano yakupinga vikwazo vikali vya kikanda yalitarajiwa kuanza Ijumaa huku shinikizo la kimataifa likiongezeka kuhusu kucheleweshwa kwa uchaguzi.
Mali iliwekewa vikwazo baada ya kuchelewesha uchaguzi uliopangwa kufanyika Febuari 2022