Rais wa Sri Lanka akimbilia Maldives
Rais wa Sri Lanka aliondoka nchini mwake kwenda Maldives mapema Jumatano baada ya miezi kadhaa ya maandamano kupinga mzozo mbaya zaidi wa kiuchumi wa taifa lake