Thomas Sankara, mwanasiasa wa Afrika aliyetaka ‘kuondoa ukoloni akilini mwa raia’
Sankara alishambuliwa na wanajeshi wenzake wakati wa mapigano yaliyomweka Compaore madarakani.
Alikuwa na umri wa miaka 37 tu.
Sankara alishambuliwa na wanajeshi wenzake wakati wa mapigano yaliyomweka Compaore madarakani.
Alikuwa na umri wa miaka 37 tu.
Kesi kuhusu mauji ya Thomas Sankara ilianza Oktoba 11 2021, watuhumiwa 12 kati ya 14 wa mauji walikuwa mahakamani Jumatatu ikiwemo jenerali Gilbert Diendere aliyekuwa mkuu wa jeshi wakati wa mapinduzi ya 1987.