Afisa Wa Afya Akamatwa Kwa Tuhuma Za Kumbaka Mama Mjamzito Bomet
Eric Langat, maarufu Kirinyet, alipatikana katika hali ya kutatanisha na mgonjwa ndani ya chumba cha ushauri baada ya wenzake kukimbilia kufuatia kelele za msaada.
Eric Langat, maarufu Kirinyet, alipatikana katika hali ya kutatanisha na mgonjwa ndani ya chumba cha ushauri baada ya wenzake kukimbilia kufuatia kelele za msaada.
Eric Langat, popularly known as Kirinyet, was discovered in a compromising situation with the woman inside a consultation room after colleagues rushed to respond to her distress call.