Mashirika Ya Open Society Yalaani kufurushwa kwa Brian Kagoro kutoka Kenya
Mashirika ya Open Society yameilaani vikali serikali ya Kenya kwa kumzuia na kumkataza kuingia katika taifa hilo Mkurugenzi wake wa mipango Brian Kagoro.
Mashirika ya Open Society yameilaani vikali serikali ya Kenya kwa kumzuia na kumkataza kuingia katika taifa hilo Mkurugenzi wake wa mipango Brian Kagoro.
Kenya has historically been seen as a safe space for exiled activists and regional human rights defenders. However, recent events have raised questions about whether that space is shrinking.